Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Song Lyrics: Return to Sender Artist: Elvis Presley Year: 1962 Return to sender, return to sender I gave a letter to the postman, he put it his sack Bright in early next morning, he brought my...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali ile ambayo inajulikana ni ushindani wa kibiashara kati ya Wasafi na clouds media. Wasafi wameamua kuja na tamasha la wasafi festival kuzunguka mikoani kama fiesta ya clouds wafanyavyo...
3 Reactions
106 Replies
15K Views
Saleikhum waungwana.. Nimeamua kuitikia wito wa Wasafi tv ifikapo sa moja unusu niwe runingani kucheki kipindi chao kipya walichozindua jana "Nyumba ya Imani". Dooh naangalia hapa nakuta ni...
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Harmorapa msanii wa kiki mjini, baada ya kukaa muda mrefu amekuja na style hii akiwakejeli WASAFI kwa kushindwa kumlipia meneja wao Babu Tale pesa anazodaiwa mpaka kwenye kesi yake. Sasa katoa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Meneja wa Tip Top Connection na wa Diamond Platnumz, Babutale anakabiliwa na mtihani mzito baada ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa hati ya kukamatwa kutokana na kudaiwa kutotii amri...
1 Reactions
74 Replies
10K Views
Kama sikosei huyu jamaa alikuwa anaitwa Richard na alishiriki kwenye Big Brother Africa. Sijui alipoteleaga wapi. Naona amepiga "ugimbi", sasa anakata mauno kama hana akili nzuri vile. Ha ha ha...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Ufafanuzi..... Tale ametiwa mbaroni kwa amri ya mahakama kuhusu kesi ya madai ya Bwana Mbonde ambaye anamdai Tale 240 Milioni,hivyo kesi haihusiani na taarifa ya makosa ya mtandao kwa kuvujisha...
3 Reactions
137 Replies
16K Views
mashabiki wengi wa muziki wa bongo fleva tunamjua babu tale kama meneja wa tip top... wasanii kama madee, tundaman, dogo janja, keisha na wengineo wote wapo chini ya babu tale... ila bosi baada...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Naona sasa wanamuziki wa Marekani wameamua kununua makanisa ili kujiongezea umaarufu na hata kuongeza kipato kutokana na sadaka zinazokusanywa makanisani.. Nini siri ya maamuzi haya kwa...
1 Reactions
20 Replies
41K Views
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine. Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa...
32 Reactions
216 Replies
22K Views
Artist: Bob Marley Song: Babylon System Album: Survival Year: 1979 We refuse to be What you wanted us to be; We are what we are: That's the way (way) it's going to be. You don't know! You can't...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Q Chila amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake. Akiongea na Clouds FM, muimbaji...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jana nimeibiwa laptop, power window, head rest, redio na mkoba uliokuwa na makabrasha na nyaraka mbalimbali nilipokuwa Mlimani City mida ya usiku. Walinzi wa Mlimani City wanasema kuwa wao...
3 Reactions
89 Replies
15K Views
Samahani nauliza: Hivi huyu Mrisho Mpoto kwanini havaagi viatu?! Unajua simwelewagi kabisa huyu mtu?! Kuna siku nilikutana nae pale Makumbusho anapekuaaa skunyingine nimekutana nae Posta mpya...
0 Reactions
107 Replies
13K Views
1 Reactions
41 Replies
6K Views
UCHAMBUZI WA WIMBO JINA LA WIMBO: SIKOMI MSANII : DIAMOND PLATNUMZ UTANGULIZI Diamond Platnumz ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) kutoka Tanzania. Anaiwakilisha nchi yake na fasihi...
15 Reactions
32 Replies
16K Views
Akiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi, Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wana JF MMU leo nimepitapita huku na kule social mediani duh ! kumbe mapemzi huwa...
2 Reactions
121 Replies
16K Views
Beyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao.. Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce .. In the Bible at Psalms 82 : 6 God is...
5 Reactions
105 Replies
13K Views
Hakuna kesi ngumu Dunani Kama ya kusuluhisha wapendanao Mke anaongea yake Mume anaongea yake Mwisho wa siku kitanda ndio kinaamua Kama wanapendana au la Ushauri: Wadogo zangu Giggy Money...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Back
Top Bottom