Kuna show moja ya Wasafi TV inaitwa Refresh,ni show inahusu habari za wasanii japo si show ngeni sana coz kuna Enewz ya EATV na clouds kuna Clouds E inafanywa na Shadee,but binafsi nimeilewa sana...
KIFO CHA MR. EBBO... KILICHOMUUA CHAJULIKANA
Abel Loshilaa Motika a.k.a Mr Ebo enzi za uhai wake.
KIFO CHA MR. EBBO... KILICHOMUUA CHAJULIKANA
Na Joseph Ngilisho, Arusha
VILIO, majozi na...
Wadau nimeona kuna uzi unamuonesha Moze Iyobo akihojiwa hivi karibuni huku sauti yake ikiwaacha wengi na mshangao.
Nimeingia YouTube na kukutana na video ya Moze Iyobo akiwa anatoa sauti kubwa na...
Toka Alikiba arudi kwa mara ya pili kwenye game kumekuwa na kundi kubwa sana la watu wasiomtakia mema katika muziki wake, wamekuwa wakihubiri uzalendo na kusapoti kazi za nyumbani ila ikifika kwa...
Mtangazaji na mchambuzi wa michezo mahiri wa Azam Tv, Jeff Leah kwamuda mrefu sasa hajaonekana katika vipindi vya Azam Tv, huku akiwa anaonekana katika matangazo ya Star times ya kombe la dunia...
Kwa wale wapenzi wa filam za kihindi poleni sana.
---------------
Veteran Indian film industry stalwart Shashi Kapoor has died at the age of 79, it has been confirmed. His nephew Randhir told...
Kupitia mobetostyle kwa Mara ya kwanza mbongo muvi aunty Ezekiel alipendeza sana kwa vazi La heshima alilovaa kwenye uzinduzi wa film yake inayoitwa MAMA ktk ukumbi wa Mlimani City, kwa kweli...
Aunt Ezekiel akiwa na mwanae
Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?
Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu...
Yaani Nandi anajisifu kua umaarufu wake umepanda baada ya video yake chafu kuonekana mitandaoni mwezi uliopita, hili toto ni bure kabisa.
Je kama wewe mzazi wa huyu binti ungemshauri nini kwa huu...
Yani sasa ndo nimeamini Ali Kiba ndo mtu ambae hataki kabisa bifu lake na Diamond life maana atakosa promo kimziki kabisa.
Kama ilivyokuwa ushindani wa Ray na Kanumba ukamfanya Ray nae aonekane...
Watu wengine bhana[emoji52]
Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.
Tangu kipindi kile cha...
Ila Mange jamani namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, bi dada si...
To be Honest,
Tanzania tumebarikiwa vipaji yaani kuna watu wanajua mpaka wanakera lakini "System" inaonekana kama inawatupa mkono sijui kwanini ?
Unasikiliza wimbo mpaka unasema Damn .Ngoma...
Miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa kama LeBron James wanaweza kukumbuka matukio yote ya kwenye mechi wanazocheza?
Angalia hapa kupitia YouTube jinis LeBron James anavostaajabisha watu kwa...
Hii ngoma ni kali sanaa anzia Lyrics, beat na kwenye melody Daamn huyu mtoto wa kike kafanya kweli humu.
Ni ngoma flani unatakiwa usikilize ukiwa umetulia flani ndio unaweza ifaidi, amelia uzuri...
Socialite Jack Pemba has come out to comment on the s*x video making rounds and it reminds us of a Shaggy song – It wasn’t me.
A girl whose face appears in the video identified as Honey Suleman...
Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama...
Habari ya mda Huu..
Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo...
Naanza na kunukuu
"Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu
Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu...
Habarini wakuu
Hapa Africa kuna masoko (regions) meng tofauti. Kuna East Africa, West Africa (Ghana, Nigeria), South Africa, Francophone countries etc...
Kimataifa kuna America, Europe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.