Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jumamosi iliyopita ilishuhudiwa sherehe kubwa ya harusi iliyoteka dunia kwa muda iliyokuwa inamuhusu Prince Harry na mpenzi wake wa muda mrefu Meghan Markle. Ndoa hiyo ilihudhuriwa na wageni...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Rayvany msanii wa wasafi classic chini ya diamond platinumz anayetamba kwa wiimbo wa Pochi nene. Ametoa free style matata akiwatani mke wake, harmonize, sarah na muarab fighter. It was joke and...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
KWa wale vijana wenzangu wa zamani wanaweza kushangaa kidogo kama kweli kundi hili lililowahi kutamba sana miaka 35 iliyopita na vibao kibao kama vile Chiquitita, Money Money na nyingine kibao...
5 Reactions
39 Replies
8K Views
America supermodel huyo atatua Bongo kuja kupumzika na kutembelea vivutio mbali mbali vya kitalii. Chanzo: The Guardian #TanzaniaUnforgettable
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF . Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye...
15 Reactions
84 Replies
9K Views
Baada ya kuzozana kwa muda mrefu Mwijaku na Mwenzie hatimae wimbo waliokua wanaupa kiki watoka hii ina maanisha kwamba ilikua ni mzozo feki kati ya vijana hao wawili kuupa kiki wimbo wa Mrisho...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa...
8 Reactions
46 Replies
12K Views
Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la...
6 Reactions
93 Replies
20K Views
Toka unyang'anywe mke na Mwinjaku imekuwa vilio visuvyokuwa na kikomo huko insta, wewe ni mwanaume usililie mwanamke hizo zama zimeshapitwa na wakati.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Samahani mimi kama Mzalendo naomba niulize wale wazalendo wanaopenda maendeleo wenzangu. Hivi kweli Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ni wa kuuza Karanga kweli? Yani na ma Exposure yote...
4 Reactions
84 Replies
13K Views
Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Yaani Kagera Sugar wametoboa tundu la Simba? Mr. President hapa kaenda too far
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti aeleza alivyomvua wigi na kumtupia viatu nje Madale, asema anamchukia ile mbaya ch akuchekesha sasa eti amemsifia Zari. Ubuyu wa moto moto unasema kuwa baada ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni...
1 Reactions
108 Replies
19K Views
Mume wa Dada ake Diamond, Petitiman alishawahi kuwa na mahusiano na mwanadada Hamisa. Kwa hiyo Diamond na shemeji yake Petitiman wameshatembea na Hamisa. Na Huku Hamisa na Wifi yake Esma...
4 Reactions
69 Replies
19K Views
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na...
10 Reactions
103 Replies
10K Views
Inasemekana huyu dada anaumwa tena,yuko taabani dua zenu zinahitajika wadau.....
3 Reactions
133 Replies
15K Views
INAGHARIMU SHILINGI 0.00 KUWAHESHIMU WATU WENZAKO Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni mmoja ya nguzo kuu katika mafanikio, Hii imedhihirishwa tena baada ya msanii Ali kiba kuwa katika skendo...
15 Reactions
50 Replies
10K Views
Kamwe tusimdharau Diamond... Ana mafanikio kuanzia cash, umaarufu, kutoa ajira kuitangaza nchi kimuziki nknk... Amepata nafasi na akaitumia vema... Ni bahati na fursa ya kipekee sana...
28 Reactions
129 Replies
15K Views
Kila mtu ana historia ya maisha yake. Hakika kupambana ndiyo njia pekee ya mafanikio, lakini kupambana kwa mwanamke inaweza ikawa ni kama kuteleza tu juu ya ganda la ndizi, hasa kutokana na uzuri...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Hitmaker wa ngoma ‘Seduce Me’, Alikiba amefunguka na kudai kuwa ni kweli kuna mchezo wa wasanii kununua views katika mtandao wa YouTube. Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa ni siku moja imepita...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom