So the talk in the hip-hop community right now is Drake taking an L from Pusha T.
I heard they are even playing the ‘story of Adidon’ in Toronto!
That’s gotta hurt, man.
Pusha T done bodied...
Msanii wa bongo fleva maarufu nchini , Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza amefunguka na kuzungumzia swala lake la kuachana na Zari na kumuomba radhi mwanamama huyo ambapo taarifa za hapo awali...
Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
Ila Bujibuji huyu kakako anapenda drama jaman
Leo anawaambia akina Kiba na Mondi kuwa waache Uzinzi, Sio wanazaa zaa tu ovyo na wanawake
Alafu anasema anampenda sana yule dada Aliyeimba wimbo...
Msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz amepanga kuanzisha tamasha lake litaloitwa Wasafi Festival ambalo inatarajiwa litakuwa tamasha pinzani na lile la fiesta linaloendeshwaga na Clouds media...
Msanii mkongwe wa taaarabu nchini Khadija Kopa amefunguka na kuzungumzia hali ya taarabu ilivyo sasa nchini na kusema kuwa wasanii wengi wamekuwa jeuri na kwamba hawajitunzi kama zamani hivyo...
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.
Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii...
Harmo juzi juzi alikuja hivi..ikawa balaa..
Mjomba akamuwahi..shughuli ikawa balaa
na mwaka jana mwishoni kashirikishwa pamoja sex lady yemi alade
hii nyingine ya jana hatari sana...
New couple in town?!
Hii ni kutoka Insta ya Nicki.
Alipoulizwa na fan kama wana date.
"You dating Eminem???" ... Nicki akajibu with a simple, "yes."
Kwenye album yake mpya iliyo njiani, Nicki...
Anaitwa Golden boy akiwa ni msanii WA Bongo flavour na hiphop anazidi ongeza kasi kwa nyimbo zake Kali ikiwemo natamani na kibelenge aliyo shirikishwa na msanii jito fire bofya hapa kuskiliza...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake
Akiongea na...
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa...
umekuwa ni msemo maarufu sana mtaani pengine wengi hawajui nani aliyeuanzisha huu msemo wengi hawajui young killer ndo mwanzilishi baada ya kuimba nyimbo ambayo alikuwa anamponda msanii mwenzie...
Habari wadau,
Leo nimeona niseme chochote kuhusiana na huyu jamaa Msami...napenda sana style ya nyimbo zake plus mitindo yake ya kudance kwenye video zake.
Jamaa ana style flani hivi ya kipekee...
Wakuu vipi.
Huyu dogo Rayvan alitoa Pochi Nene na watu wakaipenda. Sasa akasema atatoa Remix ambayo itakua na wasanii kibao.
Kabla hajatoa official alikua ana release video footage fupi fupi za...
Msanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze...
Feb 7, 2017
Familia ya Q Chillah walia na mkataba wa maisha
Familia ya msanii Q Chillah imejitokeza na kuhoji mkataba wa Q Chillah na QS Mhonda J. Entertainment ambao unamfunga huyo msanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.