Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Dah Ila wema jamani anapenda KIKI , kile kipindi cha utambulisho wa mboso alivyoalikwa na WCB na kukumbatiana na domo bhasi Madam ndo akajiona karudiana na diamond , akaanza kujipendekeza kwa kina...
6 Reactions
141 Replies
10K Views
Clouds TV INA onekana kumshambulia kijana wetu namzungumzia diamond platnumz CEO wa wasafi TV leo naona kwenye twitter yao wamemchokoza mond na kuandika Kua alikiba anasema hata wanawake hua wana...
7 Reactions
63 Replies
9K Views
Tatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila...
13 Reactions
513 Replies
26K Views
Jarida la Fobes linalochapishwa nchini Marekani limetoa orodha ya watu kumi wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Rais wa China, Xi Jinping ambaye ndiye mtu...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
LINAH, LINAH, LINAH Linah Linah Linah, mara tatu nakuita. Si kwamba akili sina, zipo ila zimegota. Nahitaji kukuona, nikome ndoto kuota. Jama nampenda Linah, mleteni nimwambie. Linah...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Diamond kaja na free style aliyoipost IG. Mashabiki wa King Kiba wanamwaga matusi. Wanadai Diamond kawataja King Kiba na Ommy Dimpoz katika hiki kionjo. Tutaona na kusikia mengi safari hii.
1 Reactions
20 Replies
11K Views
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv...
8 Reactions
95 Replies
11K Views
Nimekuwa nafuatilia sana vipindi mbalimbali hasa vya mahojiano katika TBC ONE/TAIFA, kwa mijadala mbalimbali ya siha, kwa kufanya hivi nimebahatika pia kufanya uchambuzi wa watangazaji mbalimbali...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ikiwa ni siku chache tangu stadi wa Bongo Fleva, Ali Kiba kufunga ndoa na mtoto mzuri kutoka Mombasa, Kenya Amina Khalef, ameonyesha nia ya kutaka kuongeza mke mwingine. "Msanii huyo alisema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siwezi kuamini kwa kweli kaka Handsome hivi hana hata mchumba jamani mnamsingizia tu labda ni msiri tu lakini anae.
1 Reactions
28 Replies
6K Views
#SteveNyerere amewajibu watu wanaolalamika kuhusu pesa za rambirambi za msiba wa #Masogange kutofika kwa familia na kuwaambia mchango ulikuwa wa mtoto wa marehemu na zitamsaidia kwa ada na...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Christine Mosha, during the interview at Eka Hotel Nairobi, Kenya on January 25, 2017.PHOTO | DENNIS ONSONGO In Summary She was born in Nairobi, Kenya but moved to Moshi, Tanzania. Her family...
2 Reactions
88 Replies
31K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana hili jambo hasa pale napoona wanavyochalazana mkuyenge na jinsi wanawake wanavyotembeza papuchi,mfano gigy money alipohojiwa alisema hakumbuki kapigwa mkuyenge na wanaume...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nilisoma mahali humu kwamba so called hitmaker wa "Mwana", Ali Kiba, amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji, na kwamba mwimbaji huyo ambaye amekuwa...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
au sababu sio mtoto kama dogo janja? Au anaogopa atakosa wakuwadanga? Maana upande wa pili dogo janja imekuwa kama ndalilo
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Wasaalamu WanaJf popote mlipo..! Nimeona ni bora leo tukaukumbuka ufalme wa Prodyuza mkali bongo na East Africa kwa ujumla ndugu Paul Majani! Ukiachilia mbali Kipaji chake cha kutengeneza midundo...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
Sikukuu inaanzia ndani ya #Clouds360: Mfalme atawajibika kujibu kuhusu #MoFaya. Je ni yake? Inapatikana na wapi na nondo nyingine atakazoulizwa na samsasali @hassan_ngoma na@babbiekabae. Wakati...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Hivi huyu dada alimaliza la saba kweli mbona kuandika kwake ni majanga sana ,mtu una followers milion 3 sijui moja kuandika hivi khaa, si ajifunze kama tu kuandika kwa kutumia keyboardy simu ni...
3 Reactions
102 Replies
12K Views
by Chris Mitchell WALTERBORO, S.C. – Craig Mack has risen again. Not as part of the Bad Boy, but rapping about religion to a congregation in a new video from The Overcomer Ministry. In the clip...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili pendwa Husika na kichwa cha habali hapo juu Yule dada muuza nyago ambaye anaumbo tata la kimahaba amedai yeye kwa sasa hafikirii tena uigizaji maana...
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Back
Top Bottom