Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao...
Kuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC...
Haki ya Mungu ni shida Bilali akihojiwa live na Sam Misago akana kwamba yeye ni shoga asema ye anapenda wanawake , video yake ilipoanza kucheza tu ikaanza kugoma kwa kweli laana hiii.
Anasema...
Mjue Muigizaji na Mwanamuziki Grace B Jones aliyetamba miaka ya 1980's, haswa kwenye muvi za James Bond.....muvi kama A view to a kill, huwa namfananisha na Kenyan Actress, Lupita Nyong'o.
GRACE...
Nyie Bongo movie, acheni utapeli. Mlichangisha rambi rambi kwa ajili ya kuwapoza wafiwa ili kipindi hichi cha majonzi ambacho hawawezi kutafuta hizo pesa ziwasaidie kusukuma siku.
Sasa nyie...
Ni record ambayo ni ngumu kuivunja, ni rekodi ya ubora katika utayarishaji wa muziki wa hapa nyumbani!! Kuwa na nyimbo zaidi ya 80% katika chatt za muziki si jambo rahisi kama wengine wanavyoweza...
Kipindi hicho collage boy Second year 2008,nina bonge moja la Afro,hakuna wasap hakuna instagram simu za touch zilikuwa za kichina zina peni yake...ujanja ilikuwa kuban Cd Mp3,au kununua...
Bongo bhana mambo yamekua marahisi saaaanaaaa....
Unaweza ukakaa kuudhania yule dada maarufu kipenzi cha watu anaeaminika ma mamilioni ya watanzania.. Da Mange kwamba ana bifu kuuuuubwa sana na...
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Mzazi mwenza wa msanii Ali Kiba, Hadija Hassan amefungua kesi ya madai dhidi ya msanii huyo baada ya kumtelekeza tangu mwaka 2017.
Kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu...
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa...
Aisee nimejaribu kufatilia mapenzi yao kwa muda mrefu lakini nimeambulia patupu.
Anayejua aniambie ile couple iliyotikisa kati ya Bi Sandra na kiben ten chake Mr Shamte imefikia wapi? Kwa maana...
JKL: Inspirational Thursday; Sal Davis worked with VOK(KBC) and BBC, 13/10/2016 Part 3 Meeting Sultan Qaboos of Oman, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum of UAE Dubai...
Kama umeshawahi kuwatazama wawili hawa kwa ukaribu utajua nini nasema, wamefanana mno kuanzia Dimpoz mpaka ufupi, Naomba kujua kwa wanaofahamu kama wawili hawa wana undugu wowote...
Na je nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.