Leo nimeamka na mood, ya kusikiliza mziki mzuri, basi katika kusikiliza kwangu nikajikuta namsikiliza huyu gwiji wa Bongo fleva Q Chillah {Q Chief] jamani jamaa anajua, hachoshi masikioni mwako...
Rapa wa kike wa bongo Chemical 'mwana wa Lubao' amefunguka na kudai hawezi kujutia kutokuolewa na mwanaume ambae ametoa usichana wake 'bikra' kwa kuwa anawajua wanaume waliokuwa wengi hawana...
Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao kinyume na taratibu huku akitangaza kuwa marehemu alikuwa...
Tangu Clouds waamue kumchunia Diamond miezi minne iliyopita ndio kwaanza Diamond anazidi kusumbua kila kukicha na scandal ndio zinaongezeka kila kukicha
Sasa hawa kaka zangu Soudy brown na Kwisa...
Habati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
“Simu yangu naipenda sana maana ina...
Baada ya Uzalendo kumshinda Mama ake Hamisa, amevunja ukimya nakumuombea Msamaha mtoto wake Huyo Wa pekee .Kama kuna popote mwanae kakosea yeye Kama mzazi hafurahishwi kinachoendelea Kwa mwanae...
Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa...
Ni hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa...
Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na...
MSANII: HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ
WIMBO: KWANGWARU
UTANGULIZI
Wimbo wa "Kwangwaru" ni wimbo ulioimbwa na Harmonize akishirikiana na Diamond Platnumz wote ni wasanii kutoka lebo ya WCB...
Kupitia ukurasa wake wa twitter mmoja wa wana hisa wa Jamii Media, Mike Mushi ameandika maneno mazito kwenye issue ya Diamond na Hamisa. Mike alikuwa akijibu habari iliyoandikwa na mtandao wa...
Katika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la diamond platnumz
[emoji116] [emoji91]
Hongera sana kijana...
Wadau wa tasnia ya burudan ya bongofleva kwanza rejea kwny mada tajwa hapo juu.
Kwny tasnia ya muziki wa hip hop tuna Faridi Kubanda aka Fid Q binafsi naona ni mtu ambae anapewa heshima sana na...
Habari Jf
Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la...
Wakazi ameshindwa kuvumilia na kutoa ya moyoni kuhusu msanii was kike Rosa Ree, Wakazi Amefunguka kuwa baada ya Vanessa Mdee Msanii anayefuata kwa juhudi katika mziki ni Rosa Ree , Ameandika haya...
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) ambaye pia ni msanii nguli na mkongwe kwenye game ya hip hop ya bongo, anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni aliyoipa jina la namba yake ya...
Mkoa wa Mbeya ni mkoa uliojaliwa kuwa na vipaji sana. Leo naona tuwakumbuke kwa kuwataja hao watu wenye asili ya huko na waliouletea mkoa huu sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania
1. Omary...