David Wakati,
Sarah Dumba,
Eda Sanga,
Jacob Tesha,
Ananilea Nkya,
Sango Kipozi,
Omar Jongo,
Ahmed Jongo,
Barnabas Mluge,
Idrissa Sadallah,
Benjamin Kikomongo "Ben Kiko",
Bartholomeo...
Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa...
Mwanamitindi Suellen Carey amejiondoa baada ya ndoa ya peke yake iliyidumu mwaka mzima kutofanikiwa kama alivyopanga . Mwanamitindo huyu mwenye asili ya Brazil anaishi Uwingereeza alishangaza...
Majanga, na wao, wahala!
Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria?
Kwani wadada wa Tz wana shida gani?
Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri
Angalia...
KANTE AMTAFUTE HAKIMI. EMMANUEL EBOUE AWE CASE STUDY.
Ngolo Kante, nyota wa zamani wa Chelsea na mshindi wa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa amemuoa mwana mama raia wa Uingereza...
Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia...
Habarini,
Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka.
Bwana jumbe kiumri ni mtu...
Ukiacha suaka la kuvuta bangi hakuna evidence yoyote kuwa snoop ni muhuni.
Amedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30 na girl friend wake wa tangu college.
Yoke very close na baba yake mzazi japo...
Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93...
Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo...
Mtoto wa Tandale, Diamond Platnumz, Mswahili aliyepitia changamoto nyingi kwenye safari yake ya muziki, lakini akatoboa na kuwa nyota mkubwa wa Bongo Flava. Tangu enzi za wimbo wa "Kamwambie"...
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie...
Kuna haja
That Urgent need to have his videos banned in the country.
Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu.
Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform...
Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Leo nimeona tuwakumbuke...
Katika pitapita yangu kwenye mitandao nikakutana na kichwa cha habari Hamornize Kujaza Uwanja wa O2 Arena. Nikamsikiliza akiongea na akasema amemalizia malipo.
Kwa kuweka mambo sawa O2 Arena siyo...
Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe...