Penye ukweli lazima pasemwe,
Maisha ya muziki yamebadilika sana ni tofauti na ya zamani. Huwa nahuzunika naposikia Interview ya msanii fulani wa zamani akisema "sahizi nipo mbioni narudi nina...
Hit maker wa ngoma ya bora iwe Rommy Jones ambaye amemshirikisha Baraka the prince mpenzi halali kabisa wa ex wa Mr Blue hapa namzungumzia Naj , Rommy Jones ameibua hisia za chuki kwa baadhi ya...
Taarifa za uhakika kabisa nilizopata toka kule madale ni kwamba hali sio shwari kwani msanii wetu mkubwa yuko katika ugomvi mkubwa na mamaye chanzo kikiwa ni mama mtoto wake Mobeto.Inasemekana...
Msanii Davido amemzawadia mpenzi wake Chioma zawadi ya gari aina ya Porsche katika maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.
Gari hiyo ina thamani ya takribani Naira Milioni 45 ambazo ni Shilingi...
Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema...
Ni Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, hii ni baada ya kaka yake kufunga ndoa. Pongezi kwake Abdi Banda
==
Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko...
Wana Jf Wasalaam
Wakati wa kuaga mwili wa Agness pale Leaders msanii Rammy Galis aliyewahi kuwa mpenzi wa Marehemu aliishiwa nguvu hadi kupelekea wasanii wenzie kumbeba lakini kilichoacha...
Wakati Rais Magufuli hushangaa Majaji kuwa na fedha za kutosha kumudu kwenda likizo nje ya nchi, Waziri wake Mh.Hamis Kigwangallah ametoa ahadi ya kulipia honeymoon ya wanandoa Ali Kiba na mkewe...
Huko kunako mtandao pendwa wa Instagram kumeibuka mfululizo wa picha za mwanadada murembooo wa haja anaekimbiza kweli kweli, nimejiuliza mara kadhaa huyu ni nani, ni mwanamitindo, ni video vixen...
Leo ndio ule usiku tuliokuwa tukiusubiria sisi mashabiki wa muziki mzuri.
Maharusi washaingia ukumbini, kwa sasa First Lady Mstaafu, Bi Salma anawapa vijana mawaidha.
Kuna watu maarufu wengi...
Wakuu hii trend ya nyimbo za mapenzi mapenzi mbona zimeshamiri sana ndio kusema burudani pekee ni kugegeda tu?
Wasafi
Alikiba
Aslay
Nawengine wote wekeni hata idea/story zingine basi
Najiuliza sana na kutafakari,
Kwanini serikali ya Tanzania isitumie watu maarufu duniani(sio Tanzania)
kama wachezaji mpira mfano Cr7, messi&neymar au wanamuziki na waigizaji maarufu zaidi...
Wakuu kampuni Kubwa ya muziki , AR na burudani Afrika (HQ Johannesburg South Africa and Lagos Nigeria) DFG Universal Music muda mchache uliopita wametoa top 10 ya wasanii wa Tanzania kupitia...
Ndugu wanabodi ikiwa ni masaa kadhaa toka Aslay aachie ngoma yake iitwayo KAITESI nao upande wa Wasafi wameachia ngoma yao kupitia harmonize iitwayo DM-Chick.
Je ni kweli Wasafi walikuwa...
Habari wana MMU,
Leo tar 27_04_2018 kwenye show ya Friday night pale eatv snura katimba na dancers wake watatu yan wana misambwanda aka mijitako ya haja yani kama wewe ni kibamia unaweza mwaga...