Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama kuna wimbo ambao madee anaupa heshima ya pekee ni wimbo wa Yote maisha aliomashirikisha Pfunk. Wimbo huo anadai ulimtambulisha kwa mara ya pili na pia kumfanya watu waamini kuwa hakubahatisha...
15 Reactions
44 Replies
8K Views
Vigezo vya Hamisa: 1. Ana umri mzuri kwako. 2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo. 3. Ni mzuri na ana mvuto. 4. Ni mama...
8 Reactions
174 Replies
19K Views
Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
2 Reactions
75 Replies
10K Views
Aliyewahi kuwa bwana wake Auntie Ezekiel Pedej'ee Jack Pemba ambaye kwasasa anaishi nchini Uganda akifahamika kwamba ni Raia kutoka Kongo, wiki hii ka trend kwenye vyombo vya habari vya nchini...
6 Reactions
252 Replies
58K Views
Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Aslay hizi sasa sifa aisee...yaani nyimbo zako zinafunikana zenyewe.Leo ametoa wimbo unaitwa Kaitesi. Hongera kijana kwa kazi mzuri.
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Malkia wa muziki wa Pop kutoka nchini Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna ameshindwa kesi ya haki ya kulinda kutotolewa kwenye jamii kwa mambo yake binafsi na marehemu Tupac Shakur...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
habari wadau, Leo nikisikiliza taarifa ya habari channel msemaji wa familia ya mchekeshaji maarufu king majuto aliomba wadau wasaidie kugharamia safari ya mzee kwenda kutibiwa india sina shida...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Rapa RICK ROSS Ametua jijini Nairobi tayari kwa show yake jijini humo.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sikuwahi kutumia Diamond Karanga tangu amezindua, Sasa Alikiba kazindua Mo Faya nimepata Combination murua. Ni mwendo wa Mo Faya na Diamond Karanga. Safi sana vijana wetu, hata wakisema...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nawaza kwa sauti tu hivi nyinyi wanaume mna nini lakini, ZARI pamoja na kuonesha ufundi wote wa kuzungusha mauno lakini bado alisalitiwa, lol nimewachoka kwakweli..
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
Nakumbuka kipindi hicho muziki wa dansi ulipokuwa muziki Twanga wakitamba na nyimbo 'jirani' utunzi wa Ally Choki, TOT Band na wimbo 'Masimango' utunzi wa Waziri Sonyo, African revolution na...
3 Reactions
21 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidiwa. Mke wa mwigizaji huyo...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
nakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi. Kwenye Sakata la kuumwa na kukosa hela msanii mzee Majuto kati ya jambo ambalo halizungumzwi ni meneja au msimamizi wa kazi za mzee Majuto pamoja na kazi ya Matangazo.... Ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huwa najikuta tu nawaza, mtaani kina da Mwaju wakijua wameshea au kuibiana mwanaume watazichapa si kitoto, ngumi za kuchana shumizi na gagulo dera litageuka kimono. Mara chache kwa wanaume...
10 Reactions
84 Replies
9K Views
TANGULIA AGINESI KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO. Mshumaa umezima,mapema kutarajia. Sasa huwezi kuhema,umeifuata njia. Hatunayo ya kusema,msiba umetujia. Tangulia Aginesi,nasi tu njiani twaja...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa nyyimbo zote za Saida Karoli tukutane hapa, Kwa ngoma zote za zamani na sasa
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kiba Vs Mond ( Kanzu na Panga )
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom