Habari za jpili bandugu, wanajukwaa. Kuna kitu mimi huwa kinanipa shida sana kukubaliana nacho. Tutafakari kwa pamoja suala hili.
Kwa muda mrefu sana wasanii mbalimbali wwamekuwaa music, maigizo...
Nimejiuliza sana,kuhusu Bongo muvi kuuvalia njuga msiba wa Agnes Nyie kama wakina nani? kwenye kesi yake mbona hamkuonekana hata? mnatoka na taarifa zinazotuchanganya mara mnasema kafa kwa homa ya...
KUTOKA KWA : MSANII, JOTO LA MOTO.
Nimekaa na kuwaza, kuhusu huyu jabali.
Ni mengi ametufunza, kwa tungo zenye akili.
Inabidi kuitunza,heshima ya huyu nguli.
Tumuenzi Marijani,ni jabali la...
KWAHERI MASOGANGE...HATUKUKUTENDEA HAKI!
#Mtatiro J
Ndugu zangu, uvumilivu umenishinda na nikaona lazima niandike jambo. Ni kawaida yetu kwenye taifa letu kuandika kurasa nyingi za wasifu wa...
Waba jf.
Huu mwezi umeniacha njia panda baada ya kulinganisha matukio yatokeayo ndani ya mwezi wa nne.
Mwezi wa nne ulimchukua mwigizaji Maharufu Kanumba. Pia ndio mwezi huo aliozaliwa Elizabert...
Kwa mtu ambaye ametokea kwenye maisha ya kawaida kama Aggy, bila shaka nafasi hiyo adimu aliyoipata angeitendea haki, either kwa kujiendeleza kielimu au kibiashara. Ni mda mrefu umepita toka binti...
Wasanii mbalimbali na wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wamejitokeza leo katika Viwanja vya Leaders, jijini hapa, kwa ajili ya kumuaga msanii anayepamba video za wasanii ‘video queen’ Agnes Gerald...
barnabaclassic: #RestIn peace Tunawapenda Wote mwende mkawe na neema na milango Ya pepo ifunguke na iwapokee Amina R.I.P Agness R.I.P JEB #Swahiba na wengine Wote mungu awalaze Pema peponi #rest...
Napenda kuuliza juu ya msanii wetu MRISHO MPOTO mbona tangu tupate uongozi mpya ni kama game ime-shake kwa upande wake au mimi ndo nimepunguza ushabiki? au na yeye ameenda kuunga mkono juhudi za...
Kumsaidia mtu ni kumwambia ukweli, haijlishi ataupenda au hataupenda ila siku zote ukweli huweka kila kitu huru (Hua napenda sana huu mstari wa Kikiristo wa Yohana 8:32- Utaijua kweli na hiyo...
Dogo Janja amedai anampenda sana muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya na amekuwa akimmezea mate tangia akiwa mdogo na ameweka picha zake nyingi magetoni kwake, anasema anatamani siku moja ifike...
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white...
Hii kitu niliiiona siku nyingi ila leo nimeona Afande sele akimchamba Gsolo nikaikumbuka.
Taarabu huwa ni nyimbo zilizojaa majisifu na kupakana maneno na Hiphop imejaa sana hizi ishu. Ukianza...
Mambo vipi wana JF!
Hivi ile adhabu ya Mondi kula ban imeisha maana leo naona millard ayo kapost habari kumuhusu mondi pia na mic ya clouds ilikuwepo kwa pembeni kunyonya habari....
Ndio adhabu...
Huenda ungependa kufahamu kuhusu mwanamuziki wa kale Ludwig van Beethoven. Hayumkini ndiye mwanamuziki nguli wa wakati wote wa miondoko ya klasiki (classical music).
Alizaliwa Ujerumani Disemba...
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond platnumz amemtakia Ali kiba Ndoa njema yenye baraka na furaha Tele!
Kitu ambacho watu wengi hawakutegemea lakini diamond kakifanya hakika kweli Sanaa...
Nimekuwa mdau wa bongo movie kwa muda mrefu sana, tangu kipindi kile kina TID na JAYMOE walipokuja na movie yao ya GIRLFRIEND na wengineo wengi waliofuata. Nachoweza kusema kwa ujumla ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.