Kama kuna wimbo ambao madee anaupa heshima ya pekee ni wimbo wa Yote maisha aliomashirikisha Pfunk.
Wimbo huo anadai ulimtambulisha kwa mara ya pili na pia kumfanya watu waamini kuwa hakubahatisha...
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama...
Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
Aliyewahi kuwa bwana wake Auntie Ezekiel Pedej'ee Jack Pemba ambaye kwasasa anaishi nchini Uganda akifahamika kwamba ni Raia kutoka Kongo, wiki hii ka trend kwenye vyombo vya habari vya nchini...
Malkia wa muziki wa Pop kutoka nchini Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna ameshindwa kesi ya haki ya kulinda kutotolewa kwenye jamii kwa mambo yake binafsi na marehemu Tupac Shakur...
habari wadau,
Leo nikisikiliza taarifa ya habari channel msemaji wa familia ya mchekeshaji maarufu king majuto aliomba wadau wasaidie kugharamia safari ya mzee kwenda kutibiwa india sina shida...
Sikuwahi kutumia Diamond Karanga tangu amezindua, Sasa Alikiba kazindua Mo Faya nimepata Combination murua. Ni mwendo wa Mo Faya na Diamond Karanga. Safi sana vijana wetu, hata wakisema...
Nawaza kwa sauti tu hivi nyinyi wanaume mna nini lakini, ZARI pamoja na kuonesha ufundi wote wa kuzungusha mauno lakini bado alisalitiwa, lol nimewachoka kwakweli..
Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau...
Nakumbuka kipindi hicho muziki wa dansi ulipokuwa muziki Twanga wakitamba na nyimbo 'jirani' utunzi wa Ally Choki, TOT Band na wimbo 'Masimango' utunzi wa Waziri Sonyo, African revolution na...
Dar es Salaam. Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidiwa.
Mke wa mwigizaji huyo...
nakumbuka kwenye intervieuw ya mama mkwe wa Alikiba amesema eti mwanay yule aliyeolewa ni wa tano kati watoto wa 4 .. na ana miaka 23 wakati anamiaka 29 . povu rukhsa....#####
Wasalaam wana jamvi.
Kwenye Sakata la kuumwa na kukosa hela msanii mzee Majuto kati ya jambo ambalo halizungumzwi ni meneja au msimamizi wa kazi za mzee Majuto pamoja na kazi ya Matangazo....
Ni...
Huwa najikuta tu nawaza, mtaani kina da Mwaju wakijua wameshea au kuibiana mwanaume watazichapa si kitoto, ngumi za kuchana shumizi na gagulo dera litageuka kimono. Mara chache kwa wanaume...
TANGULIA AGINESI
KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO.
Mshumaa umezima,mapema kutarajia.
Sasa huwezi kuhema,umeifuata njia.
Hatunayo ya kusema,msiba umetujia.
Tangulia Aginesi,nasi tu njiani twaja...