Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Gubu kiba 100 ameshatoa seduce me remix bada ya wiki moja anai release... #gubu kiba kwisha###
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Nauliza huyu mfalme wa bongo fleva Alikiba analipwa ngapi kwa shooo moja? Kwa mfano nikitaka aje kuniimbia Usineseme kama napenda kula getoni kwangu yabidi niandae ngapi? Halafu hivi kuna...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Msanii maarufu wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amewataka Wasanii wenzake kuacha tabia ya kuamini na kudhani kuwa wale Watu wote ( Followers ) wanaowafuatilia katika...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Baadhi ya wasanii walioshiriki maziko ya msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ jana Aprili 23, 2018 walijivinjari maeneo kadhaa ya starehe jijini Mbeya. Johari, Aunt Ezekiel, MC Pilipili, Belle 9, Dogo...
2 Reactions
55 Replies
15K Views
Kuna jitihada kubwa sana Youtube hufanya ili kutambua bidii na ushawishi ambao wamiliki wa account za youtube wanao, Moja wapo za jitihana hizi ni kuwatunuku zawadi ya “gold play button” watu...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Wanabodi Salaam; Binafsi mpaka sasa sijajua sherehe zetu za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambazo huwa tunaaazimisha tarehe 26.April. kila mwaka,zitafanyika wapi kitaifa. Naomba mwenye...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
INNA LILLAH WA INNA ILAIHI RAAJIUUN #JEBBY UNAVYO JIHISI KIFO. Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa...
15 Reactions
82 Replies
14K Views
Kwanza tupeane pole kwa Msiba wa ndugu yetu Agnes. Kurudi kwenye mada nimepitia kwenye you tube channel na nimegundua watazamaji wengi sana wemeutazama huu wimbo il i kumuona Agnes au Masogange...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuona msanii na mlimbwende wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili wana kesi ya kujibu kutokana kukabiliwa na kesi ya kutumia dawa za...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
  • Closed
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooo! Watu mnapenda snaaa kuropoka vitu hamna hata DATA navyo kama sio wasomi vile! Wengine Mange mmemjua ukubwani mwenu ila mnavopenda kujifanya mnamjua sasa...
31 Reactions
2K Replies
256K Views
Kaka mdogo wa mwanadada machachari katika mtandao wa Instagram, Bi. Mange Kimambi ameonekana akiwa ofisini kwa RC Makonda wakiwa na furaha kupitiliza. Hii ni siku chache tu baada ya mwanadada...
6 Reactions
127 Replies
20K Views
Izi ni baadhi ya Line zangu. Mwananchi...Sawa anavutwa kwa Sera.../ Siasa Movie la ajabu...Ambaye Staa anakufa kwa Treller.../ SUGU...Huzuni napokumbuka Masela.../ Akina cc daily..Ndio...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Harusi ya AliKiba Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa. Ameozeshwa na Sheikh Mohamed Kagera. Video;
7 Reactions
130 Replies
26K Views
Msanii wa Bongo fleva na mtangazaji wa Cloud Fm ,Diva Gissele Malinzi maarufu kama "Diva the bawse" ametakiwa kuomba radhi pamoja na kulipa faini ya Tsh.Milioni 50 kwa kosa la kumdhalilisha...
1 Reactions
105 Replies
16K Views
Zamani wasanii wa bongofleva na muziki wa dansi walikuwa wanautaratibu wa kuzindua albamu zao ukumbini. Wote ni mashahidi, nani asiyejua kumbi maarufu kama Diamond Jubilee ambazo ili uweze...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Ameamua kuchora hvyo ili kumkumbuka rafiki yake kipenzi masogange
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…