Wanajamvi
Nianze kwa kuweka msimamo wangu kwamba mimi sio mpenzi kabisa wa bongo flavor wala bongo movies. Naamini wengi walio kwenye hilo kundi kwa maana ya wasanii ni watu wa hovyo na mfano ni...
Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe...
Dj na legendary wa mziki aina ya EDM Electronic Dance Music AVICII kutoka Sweden amekutwa amefariki dunia hii leo uko Oman.
Mnamo mwaka 2016 AVICII alitangaza kuachana na kufanya matamasha uku...
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Abdul Naseeb maarufu kama Diamond Platinumz na Faustina Charles maarufu kama Nandy, mapema leo hii wamewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete washindwa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba kutokana na kuwa na majukumu mengine.
Hayo...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wamesema hawataweza kuhudhuria harusi ya mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba anayetarajia kufunga ndoa na mchumba wake...
Msanii Afu Ra mnamo mwezi wa Kwanza alitua bongo kuja kufanya show lakini kwasababu ya maandalizi mabovu na promo ndogo, show ilishindwa kufanyika kwasababu watu waliohudhuria hata 50 hawakufika...
Wakati zikiwa zimesalia saa chache kabla mwanamuziki Alikiba hajafunga ndoa jijini Mombasa, imebainika kuwa ametumia mamilioni katika maandalizi ya sherehe hiyo.
Mwandishi wetu aliyepo Mombasa...
Haya wale mashabiki wa kiba msio na king'amuzi cha azam tv, huu ndio muda muafaka wa kukinunua ili muweze kushuhudia star wenu akichukia jiko huko Mombasa,Kenya.
mambo ni [emoji91] [emoji91]...
Sanaa ni taaluma. Wasanii waliolitambua hili, walitafuta elimu sahihi ya sanaa, na kufanya kazi kwa utaalmu huvu wakizingatia maadili ya kazi na bila kupoteza utu wao. Tofauti na wanaojiita...
Fuatilia tabia na mienendo yao: Kabla ya kuwa msanii maarufu, nidhamu iko full. Baada ya umaarufu wa kisaanii ni kujiuza au kushinda na wasichana kila wakati, ulevi na uhuni uhuni, kuvaa hovyo...
Mwakyembe amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani ya mitandao akiwemo mwanamuziki nyota wa muziki, Diamond ambae tayari amekamatwa na Jeshi la Polisi na anahojiwa...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali siku nyingi sana Hivi yule mkali Wa Hasara roho,muziki,usikate tamaa A.k.a Darassa yuko wapi jamani?
Mliopo Dasilamu mtusaidie sisi wa mikoani Darassa Amepotelewa...
Ndoa ya mwanamuziki Alikiba na mchumba wake Amina inatarajiwa kufungwa kesho alfajiri katika msikiti wa Ummul Kulthum ulioko eneo la Kizingo jijini Mombasa.
Mama wa bibi harusi mtarajiwa, Bi...
Salam,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo...
1. JAY Z : Baada ya kua namba 2 kwa kipindi kirefu kidogo hatimaye Jay Z karudi tena namba moja na utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 2 na Bilioni 25.. shukrani ziende kwenye uwekezaji...