Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

kitendo cha ndani ya mwezi mmoja kufungiwa na basata na kuanza kulalama anakufa njaa, mara mtoto anakosa ada mara mke mjamzito anashindwa kumhudumia nauliza tu hivi huyu jama huwa haweki akiba? Au...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Je' unawafahamu ni Wakina nani walikuwa watumiaji 10 wa kwanza wa mtandao wa Facebook? Hawa ni wanafunzi wa Havard University walioonyesha mapenzi ya kujaribu mtandao wa bluu kama ulivyokuwa...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
MAHAKAMA YASHINDWA KUSOMA HUKUMU YA MASOGANGE Hata hivyo, mdhamini wa Masogange ambaye hakutaja jina lake alisimama na kuiambia mahakama kuwa Masogange hakufika mahakamani kwa sababu anaumwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Greetings wakuu! Nimesikitishwa sana na kauli ya bwana ROMA MKATOLIKI kwamba ameshindwa kumpeleka mwanaye shule kwa kukosa karo kutokana na 'kufungiwa' kwa miezi 6 kutojihusisha na sanaa na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Pamoja na vyuma kukaza, bado anga la burudani lina shamra shamra kila uchwao! Ndani ya mwaka huu matukio mengi ya burudani yamefululiza na bado yajayo yanafurahisha, swali la msingi hapa ni je...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae...
6 Reactions
292 Replies
53K Views
Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu, Ebitoke amejibu tuhuma kuwa amekuwa akitoka kimapenzi na mume wa Mamaa Ashura. Muigizaji huyo amesema kuwa tuhuma hizo hazina ukweli wowote ni stori tu za...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo...
0 Reactions
40 Replies
23K Views
Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kamati yake ya maudhui inafuatilia mahojiano ya mwanamuziki Nasseb Abdul maarufu Diamond aliyoyafanya katika kituo cha Redio cha Times jijini Dar es...
4 Reactions
51 Replies
10K Views
Wadau, Mdau Ruttashobolwa alileta hapa Uzi wa mdau mwengine wa humu W. J. Malecela akimshutumu Naibu Waziri wa Habari, Michezo Bi. Juliana Shonza ambae alikua pia ni mdau humu Jamiiforums...
12 Reactions
101 Replies
11K Views
Hawa jamaa wawili ni wasanii wa hip hop Tanzania...ukweli ni kwamba wanaweza wasiwe wasanii wa kali sana lakini ni wasanii wanaoimba zaidi kuhusu maisha ya mtaani,jinsi watanzania wanavyopata...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi...
11 Reactions
52 Replies
7K Views
Sakata la Diamond, Je Shonza, Naibu waziri mdogo wa wasanii, Je anatumika na CloudsGroup/RUGE au ana uwezo mdogo? au yote. Nakili, Baada ya kusikia uteuzi wa Bibiye shonza katka wizara hii nyeti...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Malkia wa nyimbo za mwambao Afrika Mashariki na kati, Khadija Omary Kopa amesema sio jambo zuri kwa wanawake kukaa kugombea mwanaume na kuwataka wawe wabunifu katika mapishi pamoja na kutumia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wastara amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi jioni, Wastara anasema...
6 Reactions
147 Replies
19K Views
Kiukweli mimi ni mmoja wa watu na mashabiki wa Diamond na mashabiki wengine ambao tuna amini Nyimbo na video za wasanii husika ikiwemo Diamond zina makosa na walipaswa kujikita kurekebisha makosa...
2 Reactions
181 Replies
18K Views
Diamond Platnumz akiongea na Times FM 100.5fm amesema Rais Magufuli alimpigia simu kumpongeza kwa kuchaguliwa kwenda kutumbuiza katika Kombe la Dunia huko Urusi mwezi wa June. Na yeye Diamond...
16 Reactions
47 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…