Baada ya mtifuano wa Diamond na Naibu waziri Shonza, baba yake Diamond mzee Abdul Juma, ameibuka na kusema kitendo cha mwanaye kimemsikitisha sana na ni mwendelezo wa yale ambayo amekuwa...
Hakika wimbo mpya wa Lady Jay Dee unaoitwa nani anaweza kusimama ni wimbo mzuri mno kuanzia ujumbe mpaka rhythm yaani kiukweli,komando bado anadhihirisha ni moto wakuotea mbali
Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amewahakikishia wananchi kuwa serikali haina ugomvi wowote na wasanii nchini bali wanachofanya ni kusimamia maadili katika...
Mama yake na 50 cent alikuwa msagaji anathibitisha mwenyewe kwenye wimbo alioshirikiana na The Game ninanumnukuu,"Coming up I was confused my mama kissed a girl, Daddy was not around, I wanna live...
wote tunakubali kua kwa misambwanda tu hapa bongo bas mungu kawajaalia hawa mastaa wawili mizigo ya haja lakini napata wakati mgumu kujua nani ni kajaaliwa zaidi ya mwenzie:confused:
em nanyie...
Msanii Lady Jaydee ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram jinsi alivyompotezea mfanyakazi wa kituo kimoja cha tv aliyekuwa akimteta:
"Juzi tu wakati na promote wimbo, nilienda kwenye TV...
Wasalaam wana jamvi
Kama mnavyojua fika kuwa kuna mgogoro kati ya WCB na media za IPP na Clouds....lakini hadi sasa mgogoro huu kwa kiasi kikubwa umekuwa ukiwaathiri sana watangazaji wa media...
Kale kademu Mina Ali kamenifanya nichukie hiki kipindi cha Amplifaya cha clouds sababu ya utani wake wa kitoto...... hapo kabla Ayo alikuwa anaenda nacho vizuri na u-serious wa...
Usiku wa 900 itapendeza ni shoo/hafla inayotarajiwa kufanyika 9 Disemba 2017
Uwanja wa Dar Live kumtambulisha dr.Shika kwenye muonekano mpya wakibilionea na Kumpongeza kwa kushindwa kushinda...
Wasanii Nguza Viking 'Babu Seya' na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha wamefunguka na kuweka wazi kuwa katika maisha yao ya muziki na sanaa hawataki kusikia kitu kinaitwa siasa na kusema wao siyo...
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu...
Licha ya Jokate Mwegelo aka Kidoti kuachana na Hasheem Thabeet kwenye mahusiano yao ambayo yalidumu kwa takribani miaka mitatu, bado wawili hao wameonyesha kutokuwa maadui na wameendelea kuwa watu...
Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amefunguka na kutoa kilio chake kwa Basata ikiwa ni mwezi mmoja toka afungiwe kujihusisha na shughuli za sanaa kutokana na kudaiwa kutoa wimbo ‘Kibamia’...
Mwanamitindo Millen Magese amempa 'shushu' shabiki wake baada ya kumtuhumu kumkaba mwanae ili kupata umaarufu.
Shabiki huyo alisema "Mtakuja kuwanyonga watoto kwa kutafuta kusifiwa" katika...
Lejendari mwenye kiota chake ndani ya Tasnia ya Bongo Fleva, Profesa Jay amerudi kivingine. Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu kuanzia kipindi kile cha HBC, kipindi cha Chemsha Bongo, Bongo Dar...
Mara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu.
Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda...
Wanajamvi wasalaam..
Kuna msemo unasema ndugu wakigombana au kutofautiana basi wewe chakufanya shika jembe ukalime,,,
Leo msanii Diamond Platinumz akiongozana na mameneja wake walikwenda Basata...
Leo nilikua uwanja wa tabata shule kuangalia mechi za ligi ya mchangani..ALIKIBA nae alikicheza namba 9 kiukwel mpira anajua kucheza ila nilichoshangaa watu wala hawamshangai kama tulivozoea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.