Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwimbaji kutoka Burundi, Kidum aliwekewa sumu na kulazwa Hospitali nchini Burundi Mwanamuziki huyo aliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema ataruhusiwa Jumatatu lakini...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwa
14 Reactions
475 Replies
121K Views
Nimewaza sana hivi nini hawa wasanii wengine hawana ambacho wcb wanavyo peke yao,yani licha ya kubaniwa na media but ndo habari ya mjini,yaani you tube yote wameikamata hadI huruma nyimbo zao ndo...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Msanii wa muziki BongoFleva Juma Jux ambaye yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na Vanessa Mdee, amekanusha taarifa za mpenzi wake huyo kuwa mjamzito na kudai kwa sasa hawajajipanga kufanya hivyo...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Zamani nilimdharau sana niliona kama anadandia fani. Ila siku hizi naona anaimba vizuri sana na biti zake nzuri. Ila mashairi aombe wamtungie, yamekaa kiaunderground sana.
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu? Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na...
15 Reactions
58 Replies
9K Views
Kila nikitune redio nakutana na " wezeshaaaa...muwezesheeee...tuma pediiii, au helaaa kwenda namba 555 na uchafu". Shaabash Eeeeniweei ila Clouds Media mmezidi. Imagine mtu mzima kama mimi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mpiga Picha Maarufu wa Diamond ajulikanae kama Kifesi leo ameamua kuacha kazi rasmi kwa sababu alizozitoa nimewawekea hapo chini... Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku...
1 Reactions
81 Replies
13K Views
Msanii wa BongoMovie, Faiza Ally huenda akawa ni moja ya mastaa ambao wamekasirishwa na kitendo cha mwanamama Zari kupata dili la kutangaza nepi za watoto za Soft Care. Faiza Ally amesema kuwa...
4 Reactions
137 Replies
15K Views
IPP MEDIA CLOUDS MEDIA GROUP E MEDIA... FM @ TV na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu. Wote tunajua historia...
11 Reactions
74 Replies
14K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema msanii Diamond anafaa kuwa balozi wa maadili kutokana na ushawishi alionao kwa sasa. Waziri Mwakyembe amesema hayo...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Mbunge wa Mikumi, Muheshimiwa Joseph Haule au Professor Jay amefunguka na kusema tatizo linalosababisha kufungiwa kwa wasanii na kazi zao mara kwa mara ni kuwepo kwa mrundikano wa watendaji...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Ikiwa imepita miaka takriban mitano tangu isambazwe propaganda kwamba wakati wa Jide umeisha kwaio ilimbidi akabidhi kijiti kwa msanii mwingine wa kike. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media. Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa...
18 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakati mrembo wetu Wema akiwa hapa Tz akituonyesha wowowo, yule mshindan wake kutoka Uganda amewasili kwa mualiko rasmi wa kupiga deal ya tangazo la pampers hapa Tanzania. Hongera Zari fanya kazi...
7 Reactions
112 Replies
16K Views
Kipindi ametoka na ngoma zake mbili za kwanza 'Libebe' na 'Sikinai' nilihisi amebahatisha hivyo sikumpa attention kubwa kivile, ila kwa sasa nimejisajili kuwa fan wake rasmi, this man is [emoji91]...
3 Reactions
37 Replies
13K Views
Inasemekana matajiri wengi wakubwa wa level ya Forbes akiwemo Bill Gates na watu mbalimbali mashuhuri duniani walihudhuria. Kwa mujibu wa mtangazaji wa runinga nchini Kenya, ndugu Jeff Koinange...
10 Reactions
227 Replies
40K Views
Msanii Maua Sama ameeleza sababu ya kuachia picha ambazo si za kawaida kabisa kutoka kwake, Picha hizo ambazo zilimuacha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake aliziweka mtandaoni kati ya February 19...
4 Reactions
64 Replies
31K Views
Mod Msiunganishe huu Uzi tafadhari. Kutokana na kile nilichokiona jana kuhusu Diamond na Wizara ya Habari,Sanaa na Utamaduni kumuandalia kikao Diamond na timu yake inadhihirisha waziwazi kuwa...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom