ninapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa instagram, mara kadhaa huwa nakutana na picha au video fupi za comedian captain khalid anayefanya stand-up comedy katika majukwaa mbalimbali ya...
Msanii wa bongo movie Riyama Ally uliyechaguliwa kushiriki Tuzo za Sinema zetu pale Mlimani city na hukwenda lakini umemjibu vibaya mmoja wa wapenzi wa sinema kuwa tuzo hizo ni kama ulihongwa tu...
Oi yeah.
Kama heading inavyojieleza huu ni Uzi special kwa mashabiki wa MC bora kutoka bongo Nikki mbishi
King of freestyle East Africa
Ambae anatambulika kwa umahili wake anapokuwa ameshika...
Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha binti yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka.
Dr. Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu...
Msanii wa Bongo fleva anayefanya miondoko ya kurap Harmorapa ameibuka na kuiponda Albamu ya Diamond na kudai ni mbaya kama ilivyo sura yake.
Harmorapa alijipatia umaarufu kwa kupenda kiki katika...
HII NIMEITOA SEHEMU HUKO INASEMA IMEANDIKWA KUTOKA USA:
African music Star,Diamond Platnumz,from Tanzania has come into headlines throughout the world as he Successful switched on his TV Station...
Kwa kizazi hiki ukubali ukatae, Diamond ndio anazungumziwa zaidi kuliko msanii yoyote hapa Tanzania kuanzia mitaani hadi mitandaoni
Imekuwa kawaida sana Diamond kushikilia trending tano za juu...
Kwa style hii ya Bongo movie kupigana vijembe na kuonyeshana chuki hadharani kweli mtafika?
Juzi baada ya usiku wa tuzo kuisha na wasanii Wema na Gabo kuchukua tuzo wengi wameonyesha...
wapendwa kuna mjadala mkubwa ambao unaendelea wa nani ni real KING kati ya hao ma LEGENDS hapo juu,KWA utafiti ambao nimeufanya nimegundua wengi wanampa kula Michael Jackson sijui KWA kigezo kipi...
Msanii wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha amesema amesikitishwa na taarifa alizozipata kuwa amempa ujauzito msichana anayevuma kwenye mitandao ya kijamii Agness na kudai hana mahusiano...
Rais wa WCB, Diamond Platnumz ametangaza habari njema kwa watanzania hasa hasa kwa wadau wa tasnia ya habari kwamba anatarajia kufungua Wasafi FM na Wasafi TV
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri...
Rapper kutoka Canada, Drake ameonyesha kuwa yeye ni moja ya watu walio na love ya kutosha na magari kwa kuamua kuvuta ndinga nyingine ambayo gharama yake ni sawa na gharama ya kurudia uchaguzi kwa...
Msani wa Filamu nchini Monalisa amewapongeza Azam Media kwa kuandaa Tuzo za Sinema zetu kwa wasanii wa Filamu kwani zitaamsha hamasa ya tasnia ya filamu hapa nchini na kuwalaani vikali wote wale...
Mwanamuziki wa kimataifa grade one kutoka nchini Tanzania Diamond Platinums kutokana na kuteswa kimapenzi kila kukicha na walimbwende , ndugu ,jamaa na marafiki wa karibu wameamua kukaa kitako...
Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa...
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliposaini dili la mamilioni ya fedha na kampuni moja ya nepi za watato hapa...
Watanzania mnayapata wapi mapenzi ya Wema Sepetu kwenye bongo movie?
Kipi special kwa Wema ambacho anafaa kupewa tuzo ya Best actress?
Nimeangalia Heaven Sent ni movie ya kawaida sana ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.