Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakazi afanikiwa kuzindua album yake, uzinduzi ulifana sana na kuhudhuriwa na watu wengi sana akiwemo mmoja wa waasisi wa Hip Hop bongo KBC Wa Kwanza Unit na mademu wazuri kibao, wakazi ni mmoja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaman kwa kweli huyu mrembo kanivuruga vuruga sana, yaani mimi nampendaga tu yaani, kisura chake, umbo lake mm hoi taabani. Aliye karubu naye afanye mpango basi nipate hata namba zake, mimi...
2 Reactions
66 Replies
49K Views
Kina blackpass na serious funny wangekua ulaya wangekua matajiri I guess! Hongera na heshima kwenu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Mimi naomba kujua azam alitumia vigezo gan had akina wema wakapata tuzo Je, kulikuwa na upigaj wa kula ama kulikuwa na nini Je, wema ana filamu gan kwa sasa sokon had...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Mwanadada Joyce Kiria ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa kipindi cha Wanawake Live ni miongoni mwa wanawake waliofika leo katika kuitikia agizo la Mh. RC Paul Makonda linalowataka wanawake wote...
4 Reactions
143 Replies
18K Views
Msanii Niki mbishi kutoka tamaduni music ameacha hiphop na Sasa anafanya bongo flava , Niki huwa anachukuliwa kama mmoja ya wasanii wakali kabisa wa Hip Hop barani Afrika lakini unfortunately...
1 Reactions
74 Replies
8K Views
Huyo Dogo anapiga midundo mitamu Sana, ile midundo yenyewe ya hiphop kama brooklyn, kwa sasa ameshatengeneza hasi 15 ya nash mc maisha ya mitaa nayo ya nash mc pamoja na shujaa nayo ni ya nash mc...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Bila shaka wale wapenzi wa burudani hasa muziki wa Congo watakua wamekumbana na kadhia hii ya kuahirishwa kwa show ya nguli wa burudani Noel Ngiama 'Werrason"iliyokua ifanyike tarehe 6 mwezi april...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wanamwita mbosso khan au mhindi wa kibiti... anaitwa mhindi au khan sababu ya hisia zake za kweli anapoimba akawii kumwaga machozi. ndio msanii bora kabisa kwenye bongofleva zama hizi anayeweza...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Baada ya watu kuongea mengi kuhusu awa member kutoka yamoto band. Aslay ameonyesha hakuna lolote baya linaloendelea kati yao. Haya sasa vijana tupambane tujenge nchi awajakubali kugombanishwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
USIKOSE: Saa 10:00 jioni ya leo (Aprili 5, 2018), Mkali wa Bongo Movie, ambaye ndiye aliyeibuka Muigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF), Wema Sepetu atakutana na...
1 Reactions
88 Replies
15K Views
Wakuu habarini za mchana!!!!!! Nisipoteze muda aisee na imani wengi wao tuko vyema. Ni miezi 10 sasa imepita bila ya kusikia ngoma mpya kutoka kwa Darassa huku ngoma yake ya mwisho ikiwa ni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka. SOUDYBROWN: Mambo ni hiviii Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele...
9 Reactions
126 Replies
20K Views
Wewe babu tale vipi umeamua kuachana na Tip top au bado uko nayo maana naona sahiv umeamua kumganda dangote .
0 Reactions
7 Replies
2K Views
H baba katupia picha za mjengo wake ni kali kuliko za wasanii wengine. Kumbe kuna wasanii wana hela zaidi ya diamondi
7 Reactions
89 Replies
22K Views
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Jacqueline Ntuyabaliwe, mwaka 2015 alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara mkubwa na maarufu...
19 Reactions
248 Replies
33K Views
Wanajamvi Salaam; Sijawahi kupost ktk hili jukwaa,lkn nimelazimika kufanya hivi leo kutokana na huu unafiki unaoendelea kuonyeshwa na watanzania. Kilichonichukiza ni hiki kitendo cha kumsifia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
uyu michael jackson hakuwa mtu wa kawaida leo nimeangalia sh5ws zake kumbe vijana was siku hizi tunatania / / / 5hii nyimbo naipendaga sana /
8 Reactions
99 Replies
14K Views
Mrembo aitwae Suzan Labia amefunguka wazi mapenzi alionayo kwa millard ayo na kuonesha hisia kali sana kwamba anampenda sana Millard. Suzan ambae bado ana usichana wake ni binti wa miaka 20 tuu na...
1 Reactions
70 Replies
11K Views
Serikali imemkabidhi Bendera ya Taifa muigizaji wa filamu, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa anayetarajia kwenda nchini Ghana kuwania tuzo ya #TheAfricanPrestigiousAwards kipengele cha Msanii...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom