Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtunzi, mpiga gita na kiongozi wa bendi. Kwa nini namzungumzia huyu mzee.? Alizawa ktk ya mji wa Kinshasa miaka 73 iliopita, alikuwa hapend sana kuongea na watu.Alionekana mtulivu na muelewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya ndoto nyingi za mastaa kibao wa muziki ni kupata nafasi Billboard. Diamod amepata bahati hio baada ya kuandikwa kwenye makala ya mtandao huo wa BILLBOARD. Katika picha ambayo imewekwa...
14 Reactions
46 Replies
5K Views
Kuna ujumbe umetapakaa kwenye social networks wa Mr. Mbasha. Je ujumbe huu umemlenga nani? Nini dhumuni lake hasa la ujumbe huu kwa muda huu? Kwanini kautoa ujumbe huu sasa?
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Naomba Nikushauri kwa kutumia mfano wa wasanii Wakubwa maana ndyo Role model wako. Mwaka 2008 had 2012, Lil Wayne alikuwa miongini mwa wasanii wanaotamba katika mziki wa dunia. Mwaka 2008...
23 Reactions
84 Replies
11K Views
Huu wimbo unanipa nguvu ya kuendelea kupambana Big up kwa mtu mzima Ben Paul this is the real you Una kipaji sana mzee
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naimba kila mmoja alie sikia huu wimbo.... Aweke kilichomvutia.. Mimi ninavyo vingi.. Ila huyyu Mmnarekani kuimbishwa kiswahili nikafa ...!! Napenda zaidi hata team kiba wamelowa...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Kiukweli kama unajua, unajua tu ! - Binafsi mimi ni mdau mkubwa sana wa muziki, namaanisha MUZIKI ambao una mpangilio mzuri wa maneno, melody na beats zinazoeleweka. - Msanii Beka Flavor kwa sasa...
3 Reactions
41 Replies
13K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia huyu kijana na kweli amekuwa akivutia watu wengi kutokana na kipaji chake cha utangazaji, na millard ayo ametoka mbali sana hadi leo kufikia hatua kubwa...
9 Reactions
67 Replies
9K Views
Ninabos wangu Nina mwendesha kumpeleka kazin lakini bos wangu amekuwa ni mtu wa kunielekeza njia nzima mpaka tuna fulika kazin kwake na tukifika kazin nimsubili palepale mpaka anapo toka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mke wa msanii wa muziki Dogo Janja, Irene Uwoya ametoa majibu juu ya habari zilizopo za mumuwe kutaka kuongeza mke wa pili hadi wanne. Uwoya ametoa majibu hayo baada ya kukuta habari zimezagaa...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Hello guys.. party rock anthem ni wimbo uloimbwa na kundi la lmfao, uli-hit sana zile enzi za 2011, cjui sahiv hawa jamaa wako wap, kila nkiusikilizaga ule wimbo huwa natamani ku-dance wana...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Kuna tetesi zinazoenea kwa kasi King Kiba kamtelekeza mtoto wake kama tetesi hizi zinaukweli ndani yake hii ni aibu Kubwa kwa msanii mkubwa Africa na Tanzania kwa ujumla.
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina uhakika 100% Wilder hana uwezo wa kumkalisha Floyd licha ya Floyd kuwa na uzito mdogo kuliko Wilder lakini kila nikiwaweka wapinzani wa Wilder wanaochakazwa uwanjani nafasi yao nikimuweka...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa. Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na: Habari zake...
17 Reactions
98 Replies
14K Views
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai anawachukia wanaume wenye rangi nyeupe kwasababu wanakuwa na matatizo mengi pindi anapokuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi ndio maana kwa sasa...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Habari zenu wana jf Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la...
56 Reactions
418 Replies
110K Views
Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi... Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale... Leo nimepita...
2 Reactions
144 Replies
21K Views
Amani Amani ni hali ya raha na salama bila ugomvi; ni kinyume cha fujo au vita. Mara nyingi hali za amani ya nje na amani ya ndani hutofautishwa. Amani ya nje au amani ya kisiasa na kijamii...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MaEx naona wanaanza kusogea karibu kwa a boy from tandale. Bado kusikia neno la Zari.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…