Nimejaribu kumsikiliza huyu dada Nicole Franklin Miss Shinyanga 2014 kuhusu mahusiano yake na MC Pilipili au Emmanuely yalivyovunjika lakini hayaeleweki maana inaonekana huyu dada alimpenda sana...
Kwanza poleni na majukumu wakuu.
Huwa nina tabia ya kusikiliza na kutizama show mbalimbali za kiburudani kwenye radio na tv stations mbalimbali za nchini na nje kwa majirani lakini kwa mwaka huu...
Dada zangu mtanisamehe sana ila niwaambieni tu kuwa ni matendo yenu ndiyo yanatufanya Sisi Wanaume hasa Mimi GENTAMYCINE nizidi ' Kuwapuuza ' hasa kutokana na wengi wenu kuwa na uwezo mdogo wa...
KATIKA hali ya kustajabisha, Wachina ambao hawakuweza kufahamika majina yao, wamenaswa wakipagawa na kugombea kumshika kalio, mtangazaji maarufu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ nchini China...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza je diamond platnumz ataathirika vipi na hii album yake baada ya nyimbo mbili kufungiwa?
Au hakuna athari zitakazo jitokeza? Maana tarehe 16/3/2018 ndio inatoka.
Hili...
Yeah!
Wale paka na panya wa HIP HOP ya bongo Nikki mbishi a.k.a babu bombo wakutana uso kwa uso na Nikki wa pili katika COLLABO inayoitwa BASATA
Wakali hao wa music bongo ambaye kila mmoja...
Msanii Blandina Chagula maarufu kama Johari msanii wa maigizo na filamu nchini ameweka wazi kuwa ana mpango wa kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Johari amefunguka kuwa muda ukifika...
Msanii wa HipHop asiyeishiwa na vituko kila uchao, Chid Benz amekiri kuuza nyumba yao ambayo iliyokuwa kwenye 'apartment' za ghorofa waliyokuwa wanaishi Ilala Jijini Dar es Salaam na kudai sio ya...
Kwa Nini Diamond amechagua kwenda Kenya kuzindua na kusikilizwa kwa album yake kwa mara vya kwanza. Pia Wakenya wameitumia vema fursa hiyo kwa kampuni za biashara kujitokeza kwa issue za...
Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Tuheshimiane’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa hatua hiyo ni sawa kwa sababu nyimbo hizo zitaharibu vijana na watoto ambao ndio wafutialiaji wakubwa wa...
Leo nimemuona NW wa mazingira Lugola akifanya ukaguzi wa mazingira huku akiwa kavalia suti ya michezo. Juzikati napo Dr Kigwangala akiwa katika ukaguzi wa mbuga alikuwa akipigilia full combat na...
hints:
*he is a well known businessman/investor in africa.
*there was a time, forbes magazine featured his name on africa's top billionaires
*he is a low profile kind a man,doesn't mind showing...
Nahisi kama mziki wa Dance unataka kurudi tena juu na kama ambavyo kwenye Bongo Flavour kuna ushindani wa Diamond na Kiba basi huku kwenye Dance kutakuwa na Papii Kocha na Christian Bella, na kama...
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwanamuziki Diamond Platnumz leo hii ameweka picha ya mama yake mzazi na kumsifu kwa maneno matamu katka kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Katika maandishi...
Msanii Mimi Mars amefunguka sababu ya Vanessa Mdee kuzushiwa kuwa ni mjamzito.
Muimbaji huyo ambaye ni ndugu na Vanessa Mdee ameiambia Funiko Base ya Radio Five kuwa ulaji wa Vanessa ni miongoni...
Kwako mrisho mpoto,
Imekuwa ni muda sasa toka tukupe nauli,pengine tingo alikupitiluiza kituo.
Maana umepita muda sasa,pengine uliogopa kushuka kwa sababu kulikuwa na mvua tena ya mafuriko ya damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.