Nimeweza kumfahamu Munishi kupitia nyimbo, makala na video zake zinazoikosoa CCM wazi wazi kwamba kimezeeka na ni chama cha majambazi, hivyo kiondolewe madarakani. Hivi karibuni kaja na madai ya...
Hii ni summary ya interview aliyofanya na Dizzim online radio.
Nazindulia A boy from tandale album nchini Kenya sababu mimi ni msanii wa east africa sio wa Tanzania pekee.
Rick Ross...
Kwa kweli, huyu Dk anayemchoma sindano huyu mwanamama atakuwa ni moja ya ma doctor wenye furaha sana duniani. Sipati picha akianza kutafuta ule mshipa wa tako ...
Daaah yaani leo nimevurugwa...
Mike Tyson warns Anthony Joshua that being heavyweight champion is like being the US president
Alan Dawson, Business Insider UK,
World heavyweight boxing champion Anthony Joshua can reign for a...
Msanii wa muziki Bongo, Afande Sele (Mfalme wa Rhymes) amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo maalum uliotungwa kwa ajili ya...
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7).
Kwa mujibu wa tovuti ya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua...
Naangalia marudio ya kipindi cha shilawadu hapa, Kwisa anasema ni birthday yake na sababu mheshimiwa Rais Magafuli ni mdau mkubwa wa kipindi hicho wanategemea simu ya kumu wish happy birthday...
Habarini za mida bandugu wa JF, naomba kuuliza hivi yule msanii alitewahi kutamba na ngoma kama WAITE POLISI na NAKUPENDA HIP HOP, aliyepata kujulikana kama roho 7 siku hizi yu wapi maana nna mda...
Msanii wa Bongo fleva Aslay amesema hajaridhika na mafanikio ambayo ameyapata kupitia mziki wake anaoufanya mpaka atakapo pata tuzo ya heshima hapa Bongo.
Akiongea kupitia eNEWZ Aslay amesema...
Wakuu nawasikiliza wakina papii kocha now wakiwa wanahojiwa na clouds fm,yaan nataman ningewaulizaa walivyokuwa huko segereaa waliwezaje kukaa kwa miaka 14 bilaa kufanya mapenzi na walipopata...
Sijui nimewazaje ila mara nyingine kuna watu wanakose karata zao, huyu bwana 2015 angekuja Moshi kwa tiketi hata TLP, ubunge angeupata asubuh na mapema. Kosa lilikuwa kuja kupambana na CHADEMA...
Kwanza niseme jambo moja... na hili nilizungumza tangu nilipoleta uzi wa awali kabisa wa post ya Sallam.
Ninachotaka kusema ni kwamba, Sallam needs to act as a man! Kama nilivyosema hapo awali...
Kwa wale wahenga wenzangu wapenzi wa hip-hop lazima mtakuwa mnamjua emcee aliyetamba mwaka 1994 na kibao chake cha ‘Flava In Ya Ear’.
Habari zinasema kuwa alifariki jana Jumatatu kutokana na...
Msanii wa muziki Bongo, Chegge amefanikiwa kupata mtoto na mpenzi wake.
Msanii huyo anayehit na ngoma yake mpya ya ‘Kaitaba’ aliyomshirikisha Saida Karoli, ametuma ukurasa wa mtandao wa kijamii...
Jaman unaweza kuonekana kituko mtu mzima kushabikia tangazo lakini hawa jamaa(Barnabas classic na Christian Bella wamelitendea haki hili tangazo la Nyaka Nyaka Bonus
Hakika hawa washikaji...
Nimekuwa nikisikiliza huu wimbo ulitoka zaidi ya miaka kumi iliyopita. Ambapo prof alimshirikisha juma nature, but huwa kuna sauti ya kike huwa inasikika, ambayo kwnye video anaonekana Nargish...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.