Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

As the evening approaches, Kenyans look forward to prime time news. While it is the content that keeps most of them glued to their screens, quite a reasonable number of individuals have confessed...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Hawa watu huwa wanatumia vigezo gani kuja na hizi habari? Mi nauona kama mwendelezo wa team ambazo zilishaanza kufifia!
0 Reactions
37 Replies
26K Views
Dar es Salaam. Msanii wa filamu, Wastara Juma amerejea nchini leo akitokea Mumbay nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu ya mgongo na mguu na kuwashukuru Watanzania kwa namna walivyojitokeza...
3 Reactions
156 Replies
15K Views
Wakuu, huyu kijana wa WCB rayvanny ana striking resemblance na yule mchekeshaji wa kwenye mitandao anayejiita dulvani. Swali langu kwa wanaowafahamu, je hawa jamaa ni ndugu? Asante.
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Ukiwaona kwenye video ni tofauti na maisha yao halisi.Why?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo imenipendeza kumzungumzia huyu mkali wa "kunata na biti!" Kumbuka sio kila mwenye uwezo wa kunata na biti ni mwanamuziki mzuri. Huyu ni msomi, tena miongoni mwa wasanii wachache sana...
11 Reactions
96 Replies
11K Views
Orodha ya wasanii wanaotoka katika kundi la ukapera inazidi kupungua kila kukicha – Alikiba anadaiwa kutaka kufuata nyayo hizo. Msanii huyo ametajwa kutaka kufunga ndoa na mrembo huyo...
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Tarehe 03/03/2018 ndio tarehe rasmi ambapo ule ubishani pamoja na tambo zinazoendelea kwa kila kati ya Deontay Wilder (BronzeBomber) na Luis Ortiz (King Kong). Hili pambano lilibidi lipigwe tangu...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Hongera kwa kufungua radio na tv. Hongera kwa kutumia vyema wakati wako... ukipata wakati uutumie vyema Waswahili wanasema ukishikwa shikamana. Kweli Diamond alishikwa na akashikama kiasi cha...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa anafanya makusudi kuvaa nguo za nusu utupu 'fupi' akiwa kwenye show ili aweze kuwapagawisha watoto...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Hapana shaka hata kidogo mziki wa Bongefleva umepanda chati kwa kasi sana kimataifa hasa barani afrika na wanamuziki wake wamekuwa na ushawishi mkubwa katika kiwanda cha muziki ndani na nje ya...
22 Reactions
115 Replies
20K Views
Wasafi tv haijaja kushindana na mtu bali imekuja kuongeza nguvu kukuza tasnia ya sanaa na burudani' ...amesema diamond baada ya kuulizwa kuusu minongono ya kushindanishwa na kituo fulani kizee cha...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
TMZ inaripoti kuwa Rick Ross kalazwa spitalini huko Miami na yupo kwenye life support. ============================================== Rick Ross has been hooked up to a machine that's taking...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Na Sifael Paul WILLIAM Malecela a.ka Le Mutuz ambaye anatajwa kuwa ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe Bongo, John Malecela ambaye anadaiwa kuwa ni funga kazi kwa kupenda kupiga picha na wanawake...
0 Reactions
110 Replies
17K Views
Hili ndilo 'tamko' la meneja wa Diamond Sallam' kupitia IG page yake kupitia kufungiwa nyimbo 2 za msanii wake. Sasa naunga mkono maneno ya Shigongo hawa Managers wake hasa huyu Sallam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pichani mwenye tshet nyekundu ni baba yake mzazi Ommy Dimpoz ambapo Amesema mwanae huyo amemtelekeza miaka Mingi licha ya Dimpoz kusifika kwa kula bata nchi mbalimbali duniani. Baba Dimpoz ana...
7 Reactions
146 Replies
18K Views
hizo nyimbo zilizokatazawa je zitakuwepo kwenye hiyo album? Au ataifanyia masahihisho?
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Ndugu wanaJF, nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa. Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Kumekuwa na tetesi kadhaa zinazomuhusisha Mbongofleva Alikiba kufunga ndoa ya kimya kimya nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye website ya Ghafla, Alikiba anatarajia kufunga...
4 Reactions
60 Replies
14K Views
Back
Top Bottom