Msanii Roma anaeunda kundi la ROSTAM amefungiwa kutokujihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita ikiwa ni kama adhabu ya yeye kutokutii agizo la baraza la sanaa tanzania (BASATA) la kufungiwa kwa...
Babu yangu(RIP) aliwahi kuniambia kuwa hakuna marehemu mbaya. Yaani mtu akishafariki ni ngumu na ni mara chache mno kuzungumziwa mabaya yake. Kinachotawala huwa ni mema ya marehemu tu!
Mowzey...
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amemfungia msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na tasnia ya muziki kwa kipindi cha miezi sita.
Akizungumza leo Machi 1, 2018 na...
Matonya amefunguka kuhusu tuhuma zilizosambaa kuwa amekamatwa na Madawa ya Kulevya nchini China akisisitiza kuwa sio kweli na wala yeye hajawahi kujihusisha na biashara hiyo kwenye maisha yake...
Wakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya.
Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETV
Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Wakati style ya kubadili rangi ya nywele zao na kuweka rangi tofauti tofauti ikiendelea ku-trend, Mwana FA hajakaa kimya katika hilo.
Katika moja ya picha za Ommy Dimpoz ambazo anaonekana na...
Nyota wa muziki wa pop nchini Marekani Madonna amesema kuwa mwanawe David Banda atakuwa rais wa Malawi siku zijazo katika ujumbe aliouchapisha katika mtandao wa Twitter akimsifu mvulana huyo...
Bollywood Super star Sridevi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
=======================================
Muigizaji wa kwanza wa kike kupata umaarufu zaidi kwenye soko la filamu nchini India...
Msanii mwenye kipaji cha kipekee ambaye amegeuka kuwa homa ya jiji Mbosso aka mbosokhan mshedede anakaribisha maoni yako kuhusu muziki wake.
Hii ni baada ya kutoa ngoma mbili official na mbili...
Baada ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto band, kila msanii wa kundi hilo alianza kufanya kazi kivyake.
1. Aslay alianza kutoa nyimbo moja baada ya nyingine kila baada ya muda mchache bampa to bampa...
Moja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club...
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda...
Nimeona picha ya Zari na huyu anayejiita Pedeshee Katunzi, sijui ukweli wake kama hawa wawili ni wapenzi, huenda walikuwa ni wapenzi au ilipigwa kama ilivyo watu maarufu wakikutana pamoja hupiga...
Natumaini ni wazima
Katka kitu nimekuj kushanga kwenye hii tasnia ya Sanaa
Yan bila kiki huwezi kusogeza mziki wqko
Kam shabiki wa damu wa mnyama diamond nilifwatia hili jambo kiundani
Ila...
Wasalaam
Kigali,
Rwanda |
Liliane Iradukunda has been named Miss Rwanda after the final round of the beauty contest at the Kigali Convention Center on Saturday night.
The 18-year-old...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.