Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah amefunguka na kudai anawaheshimu wanawake wenzake wanaojishughulisha kutafuta pesa kwa namna moja ama nyingine huku akiwataka wasiwape upenyo baadhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Notebook ya Drake aliyokuwa akiitumia siku za nyuma ipo sokoni, inauzwa $ 54K (121.6 M Tsh) TMZ wameripoti kuwa notebook hiyo ya Drake ambayo alikuwa akiitumia utotoni ina mistari yake, namba za...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Waambie ukweli maana wamezidi
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiukweli Nilikuwa naona huyo dada wa IG MANGE KIMAMBI ni kama mdada flani hivi anayefanya mambo Pasi na kufikiria, Sana sana nilivyokuwa naona hoja zake zenye mashiko lakini zikikosa...
31 Reactions
209 Replies
39K Views
Dr. Shika ameishia wapi maana toka Lissu apigwe risasi amepotezewa na sijui madada waligundua kuwa mabilion hayapo. Dr. popote ulipo ebu jitokeze uitishe press conference na utangaze kugombea...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
KOMBORA KIOTANI-41 BONIFACE BIRAGE TULIPOISHIA DEDANI ANAOKOLEWA MIKONONI MWA WATEKAJI NA SHUNIE ANAPELEKWA SEHEMU YA SIRI NA AFISA HUYO WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KABAAANG! Wakati supastaa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' akitembea kifua mbele huku akijinasibu kuwa anasubiri kwa hamu kupata mtoto kutoka kwa mchumba wake, Zarinah Hassan ‘Zari'...
0 Reactions
119 Replies
30K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ee bhana ee yule dada yetu wa taifa komando machozi jide mwenyewe kanishukia kama mwewe huko inster Mimi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nyimbo zenyewe ni Far Away ft Vee money,Baila na Kosa Langu....Nikiweka ushabiki pembeni asee,huyu bwana mdogo hafai,hafai,hafai....narudia tena Diamond hafai kwenye kupambanishwa na msanii...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Orodha hii ya video zisizopendwa sana za YouTube ina video za juu 40 zilizo na zisizopendwa zaidi wakati wote, zilizopatikana kwenye chati za YouTube. Hesabu za nyimbo zisiyopendezwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuwepo kwenye matibabu takribani wiki tatu zilizopita nchini India, hatimaye msanii wa filamu, Wastara Juma anatarajia kurejea nchini wiki hii. Habari kutoka kwa ndugu wa karibu wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hakuna cha mc pilipili ,joti au eric omond huyu jamaa kutoka 254 ni funika kama unastress lazima zipungue.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
salaam sana.naomba niwataje wasanii wa muziki (hususan bongo fleva) ambao naamin hawastahili kuwasahau kwa vyovyote vile watayarishaji wa muziki(producers) kwakua wametoka nao mbali 1.Ali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND...
6 Reactions
74 Replies
11K Views
Watu wa mikoani malalamiko yenu nimeyasikia ila na mimi nina ya kwangu pia naomba myasikilize kwa umakini ili tuweze kwenda Sawa . —————————————————————————————————————————————————————— Ukitoa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
5 Reactions
127 Replies
13K Views
Nakumbuka mwaka 2001 kwenye chati ya nyimbo kumi za Bongo Fleva kwenye kituo cha Radio One Stereo, pale mtangazaji wa kipindi hicho alipoitangaza ngoma iliyoshika nafasi yakwanza.Mtangazaji...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Enzi zile,kulikuwa na fasion ya mashart na suluali pana,sijui ziliishia wapi!!
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Muimbaji wa muziki raia wa Norway, Makihiyo ameachia nyimbo iitwayo ‘Ni Wako’ akiwa amemshirikisha mkali wa muziki wa R&B Bongo, Ben Pol. Huyu mzungu anasema sababu ya kuimba kwa Kiswahili ni kuwa...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB. Mapendekezo yangu Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker...
7 Reactions
47 Replies
7K Views
Back
Top Bottom