Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nimeweza kumfahamu Munishi kupitia nyimbo, makala na video zake zinazoikosoa CCM wazi wazi kwamba kimezeeka na ni chama cha majambazi, hivyo kiondolewe madarakani. Hivi karibuni kaja na madai ya...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Jamaa amerelease new joint inaitwa Fimbo, Jamaa hajawahi niangusha aisee..
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Hii ni summary ya interview aliyofanya na Dizzim online radio. Nazindulia A boy from tandale album nchini Kenya sababu mimi ni msanii wa east africa sio wa Tanzania pekee. Rick Ross...
13 Reactions
129 Replies
17K Views
Jamaa inaelezwa huyu binti hapo pembeni ni mwanae, kwa mujibu wa Millard Ayo blog...basi jamaa alianza kwichkwich kitambo kidogo...:(
11 Reactions
127 Replies
17K Views
Kwa kweli, huyu Dk anayemchoma sindano huyu mwanamama atakuwa ni moja ya ma doctor wenye furaha sana duniani. Sipati picha akianza kutafuta ule mshipa wa tako ... Daaah yaani leo nimevurugwa...
3 Reactions
63 Replies
13K Views
Mike Tyson warns Anthony Joshua that being heavyweight champion is like being the US president Alan Dawson, Business Insider UK, World heavyweight boxing champion Anthony Joshua can reign for a...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimeitafuta sana sana leo nimeikosa hivyo huku ndio sehemu ya mwisho kuja kuomba mwenye hii nyimbo anitumie hapa. Nawasilisha.
2 Reactions
38 Replies
9K Views
Msanii wa muziki Bongo, Afande Sele (Mfalme wa Rhymes) amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo maalum uliotungwa kwa ajili ya...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7). Kwa mujibu wa tovuti ya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Naangalia marudio ya kipindi cha shilawadu hapa, Kwisa anasema ni birthday yake na sababu mheshimiwa Rais Magafuli ni mdau mkubwa wa kipindi hicho wanategemea simu ya kumu wish happy birthday...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za mida bandugu wa JF, naomba kuuliza hivi yule msanii alitewahi kutamba na ngoma kama WAITE POLISI na NAKUPENDA HIP HOP, aliyepata kujulikana kama roho 7 siku hizi yu wapi maana nna mda...
7 Reactions
72 Replies
22K Views
Msanii wa Bongo fleva Aslay amesema hajaridhika na mafanikio ambayo ameyapata kupitia mziki wake anaoufanya mpaka atakapo pata tuzo ya heshima hapa Bongo. Akiongea kupitia eNEWZ Aslay amesema...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu nawasikiliza wakina papii kocha now wakiwa wanahojiwa na clouds fm,yaan nataman ningewaulizaa walivyokuwa huko segereaa waliwezaje kukaa kwa miaka 14 bilaa kufanya mapenzi na walipopata...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Sijui nimewazaje ila mara nyingine kuna watu wanakose karata zao, huyu bwana 2015 angekuja Moshi kwa tiketi hata TLP, ubunge angeupata asubuh na mapema. Kosa lilikuwa kuja kupambana na CHADEMA...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwanza niseme jambo moja... na hili nilizungumza tangu nilipoleta uzi wa awali kabisa wa post ya Sallam. Ninachotaka kusema ni kwamba, Sallam needs to act as a man! Kama nilivyosema hapo awali...
26 Reactions
65 Replies
11K Views
Kwa wale wahenga wenzangu wapenzi wa hip-hop lazima mtakuwa mnamjua emcee aliyetamba mwaka 1994 na kibao chake cha ‘Flava In Ya Ear’. Habari zinasema kuwa alifariki jana Jumatatu kutokana na...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Msanii wa muziki Bongo, Chegge amefanikiwa kupata mtoto na mpenzi wake. Msanii huyo anayehit na ngoma yake mpya ya ‘Kaitaba’ aliyomshirikisha Saida Karoli, ametuma ukurasa wa mtandao wa kijamii...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Jaman unaweza kuonekana kituko mtu mzima kushabikia tangazo lakini hawa jamaa(Barnabas classic na Christian Bella wamelitendea haki hili tangazo la Nyaka Nyaka Bonus Hakika hawa washikaji...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikiliza huu wimbo ulitoka zaidi ya miaka kumi iliyopita. Ambapo prof alimshirikisha juma nature, but huwa kuna sauti ya kike huwa inasikika, ambayo kwnye video anaonekana Nargish...
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…