Habari za sasa wadau wa celebrities forum. ni matumaini yangu mu wazima kabisa!
Jalada lililoko mbele yenu sasa linazungumzia mustakabali mzima wa tasnia ya filamu Tanzania ambayo imepewa jina...
Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno...
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia...
Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na...
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG
Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia
Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana...
Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote;
1. Albert Mangwair
2. Profesa J
3. Jay Mo
4. Juma Nature
5. Mwana FA
6. Afande Sele
7. Fid Q
8. Joh Makini
9. Chid Benz
10. Solo Thang
Nimezingatia...
Mwijaku ana CV nzito lakini ni Chawa wa mtu wa darasa la saba. Nikionacho mimi na marumbano yanayoendelea yeye na timu ya Diamond hadi kupelekea kutoa vyeti vyake hadharani anakidhalilisha chuo...
Tupo kwenye sensa kujua wimbo gani wa King unaokubalika zaidi.
Tafadhali husika na Kichwa cha habari hapo juu hatutaki maneno maneno wala hatutaki malumbano na team ujanja ujanja kwenye Uzi huu...
Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,
Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva...
Kundi maarufu kama man dojo na Domo kaya, wameeleza walivyokuja dsm mara ya kwanza na kuibiwa kila kitu
Wameenda mbali na kutoa shukurani za pekee Kwa Producer Majani maarufu kama Paul, kwamba...
Baada ya msiba mzito ulioikumba bendi ya FM academia baada ya kuondokewa na mpendwa wao marehemu Malou Stonch, mengi yameibuka.
Akizungumza kwenye chombo kimoja cha habari, kiongozi wa kundi hilo...
GTs,
Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga, je kipato chake ni halali au ndiyo kawa pusher halafu anadanganya watu ana akili biashara imekubali? Nadhani mamlaka ya kuthibiti madawa...
Habari wababodi,
Wengi walikua wanaulizia habari za Boni Mwaitege sana maana hajasikika mda mrefu kwenye medani za gospel.Msanii Mwaitege amefunguka kwamba yupo busy na biashara zake za kuuza...
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.
Marioo alibainisha hayo Agosti 28...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez na mumewe Ben Afflect wanatarajiwa kupeana talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka miwili baada ya Jeniifer kuwasilisha shauri la kudai...
Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi...
Huyu ni mchekesha wa comedi kipindi kinachorushwa na Star TV saa tatu na nusu usiku siku ya alhamisi kipindi kinachoitwa "futuhi" mtangazaji anaeitwa sharobaro wa kihaya ameanza kujichubua...
....Msanii wa Bongo fleva, Marlaw, jumamosi iliyopita alimuoa msanii mwenzake, Besta. kila la heri ktk maisha mapya ya ndoa
....NDANI YA JUMBA AKA SUTI KALI!
....KIDOLE CHA...