Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mangekimambi: Mgonjwa wenu huyo, December 20 2017 aliposti hii video anakata mauno. Rayvanny akarepost kwake. Alivyoanza kulia mguu unamuuma akaifuta hii video fastaaaaa ili watu wasione kuwa...
15 Reactions
64 Replies
13K Views
Wasanii wetu siku hizi wanaiga utamaduni wa kimagharibi, sijui tunawajengea nini watoto wetu. Hii imekaaje wasanii hawa kupaka rangi kichwani mwao haswa ukizingatia ni wasanii wa kiume hawa!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi.... Wachumba wa Zamani Diamond Platinumz na Zari wanatarajia kuandika historia nyingine kama ilivyo kawaida yao pale uwanja wa uhuru ambapo kutakuwa na matukio mengi sana...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Ukiwa hauna pesa unaweza ukajiona wewe ndiye mtu mwenye matatizo pengine kuliko watu maarufu unaowaona kila siku kwenye runinga au kuwasikiliza redioni, lakini ukweli ni kwamba maisha hayapo hivyo...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Hawa vijana wanaweza Sana. Bado wapo level ya chini na kazi zao zipo mtandaon pekee. Naomba utazame kazi zao utaona jinsi walivyo wabunifu. Ze comedy., mizengwe, vituko show lazima na nyie mfanye...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnumz’ akiugulia maumivu ya kuzomewa na mamia ya mashabiki wa muziki katika Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita ...
1 Reactions
102 Replies
16K Views
Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka...
2 Reactions
62 Replies
19K Views
Nimaona kionjo chake kidogo, ngoma iko poa japo sijajua kama ni official release kwa kuwa Jason hajaiweka kwa page take ya IG. Vijana was WCB wanazidi kuchanja mbuga.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Msanii wa filamu, Vincent Kigosi maarufu ‘Ray’ amesema kitendo cha kumvisha mtoto wake hereni ni kutokana na kuwa nyota kama yeye. Ray amesema hayo alipozungumza na MCL Digital...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
"MAELEZO YANGU HAYA YATAONDOA UTATA WOTE NA HOPE MTANIELEWA" Kiruuuuuuuuuuuuuuuu wananchi wenye hasira kali angalieni msinitoe roho! Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe bureeee.. Wacha...
0 Reactions
107 Replies
25K Views
Huyu jamaa muigizaji wa steshen moja ya radio kama comedian nampenda sana. Yeye anaigiza kama mtu mlafi sana yani chauroho. Ila hana umaarufu sana
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Msanii wa muziki bongo Rachel maarufu kama Rachel Kizunguzungu, amefunguka juu ya sakata lake la kwenda nchi za Uarabuni na kukutwa na mabalaa, ikiwemo kutumia madawa ya kulevya na kutelekezwa...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari za ijumaa wakuu Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Kumekuwa na promo nyingi sana kumhusu aslay na nandy , kutoa nyimbo mbalimbali pamoja, kufanya shoo...
9 Reactions
29 Replies
8K Views
Daaah huyu jamaa niliwahi kusema akirudi kuimba Tena Dunia itasimama. Yasome mashairi yake hapa. Verse 1. Dunia inazama, naangalia, Sina cha kufanya,moyoni naumia. Mawazo yangu oh, naangamia...
7 Reactions
78 Replies
16K Views
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo. Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya...
13 Reactions
496 Replies
83K Views
Wasanii wa kizazi kipya Aslay pamoja na mwanadada Nandy wanaoendelea kufanya vizuri na kibao chao cha 'Subalkheri mpenzi' wanatarajiwa kuburuzwa Mahakamani kutoka na kuimba wimbo huo bila ya...
6 Reactions
120 Replies
24K Views
MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee na Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ , Penniel Mungilwa ‘ Penny’ amesema mwanamuziki huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena Kauli ya...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz' amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam' kwa...
1 Reactions
100 Replies
17K Views
Nadhani nimechelewa sana kujua nyimbo za huyu fundi wa nyimbo za injili Ambwene Mwasongwe,jamaa anaimba vitu vinatouch kinyama Nasikiliza hapa wimbo unaitwa CHOZI LA HAKI. Huu wimbo ni touching...
3 Reactions
63 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…