Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa...
Ni sheedah ! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa , nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ' Beautiful Onyinye ' na Aunty Ezekiel kuna siri nzito...
Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu‘ madam' ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ' Zari ', Ivan Semwanga...
MWANADADA asiyeishiwa habari , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo , marehemu Steven...
JINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na...
Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' alilompa aliyekuwa mwandani wake , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam'...
Mrembo na mwanamitindo ambae pia ni mwigizaji wa filamu na ujasiriamali, Jokate Mwegelo ‘Kidoti' amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz'...
Miss Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye', amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota...
Project ya Kijana wetu Diamond na Zari (the boss lady) ilifana sana kiasi kwamba iliacha kumbukumbu!
Cha kujiuliza, hii project inaendelea? Kuna picha hapo chini inaonesha wakiwa wanaanza...
CHEREKO
Chereko! Siku chache baada ya supastaa ' grade one' wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ' madam' kummwaga King of Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond ' , mama mzazi wa...
Safari hii ndiyo basi tena ! Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza ( smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja , habari ya mjini...
Jason Derulo na Jordin Sparks waliachana zaidi ya miaka 2 iliyopita.
Tangu wakati huo Jordin ameshaolewa na anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza.
Ni wazi kabisa kwamba Jason bado anajutia...
Kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa ‘Jack’, muimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha ameitikisa ndoa ya Mchekeshaji Emmanuel Masanja ‘Mkandamizaji’ baada ya...
Diamond Platinum mm ni mtanzania mwenzio tuu ila sifuatilii sana mamiziki ila natoa ushauri kuwa Msaidie Baba yako mzazi ingali yupo hai.
Asante.
Nakushauri.....
Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown >>>
“Yah nisiwe muongo...
Mke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.
Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa...
Ni suala la muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na "muuza Karanga" wake (Diamond Platnumz).
Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na Diamond pale alipoona picha za...
Kinachonisikitisha kwa huyu Kijana ni kwamba kila ninapoona akifanyiwa Interview akiwa pamoja na Nandy naona Confidence ya Nandy ipo juu maradufu ya Aslay na kuna wakati navutiwa kumtizama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.