Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Beautiful onyinye wa bongo kama wanavyo muita watu. Miss Tanzania Wema Sepetu aka sepetunga ni kwamba ameshindwa kurudisha account yake ya Instagram ambayo inasaidika imekuwa hacked (Kudukuliwa)...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya kilimo cha bangi, amejiweka karibu na mwanamuziki Snoop ambaye nae tayari anafanya shughuli za uzalishaji wa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Rachel najua upo humu JF. Najua nikikushauri utaniblock. Baada ya ile hotel kutangaza offer yao ya Tsh 22,400,000/=, huyu mdada akaanza kupost hivi; Usiyemtaka amekuja mwenyewe. Ukiona manyoya...
10 Reactions
518 Replies
56K Views
Kwakweli Mungu yupo jamani Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao... Tunaamini WASAFI hawana njaa za...
10 Reactions
160 Replies
24K Views
Mwanandondi msataafu ameripotiwa kufanya kazi na mwanamuziki Snoop Doggy huku akijifinza kuhusu bangi. Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Joseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media. Ni ndoto yangu kufikia mafanikio kama yake. Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi. Lakini...
20 Reactions
123 Replies
13K Views
Kila nilipokuwa nikimtizama hasa anatangaza Taarifa ya Habari ya Runinga ambayo huwa inarushwa na Kituo cha Runinga cha Star tv kila Jumatatu hadi Ijumaa Saa 3 Kamili hadi Saa 3 Unusu nilikuwa...
10 Reactions
119 Replies
13K Views
Mpaka sasa ni moja ya redio maarufu kwa watu inatajwa sana kwa sasa=na clouds ... My note,walete burudani tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msanii wa muziki Bongo, Q Chillah amesema licha ya kuwa na njia mbali mbali za msanii kutangaza muziki wake bado atahitaji support ya media. Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameachia ngoma mpya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ushahidi wa mkojo wa mwanasiasa Wema Sepetu umezusha mabishano ya kisheria baada ya Wakili Albert Msando kumhoji Inspekta wa polisi kama alikuwepo wakati mkojo huo " unapatikana na kuchukuliwa"...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Ni kawaida kwa binadamu ku shukuru/kum acknowledge binadamu mwenzie baada ya kufariki.Tabia ambayo imeota mizizi katika maisha yetu japokuwa sio tabia nzuri/mbegu nzuri ya kuipanda. Katika muziki...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond amesema mazungumzo katika kesi yake Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa watoto kati yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto, imekwenda vizuri...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Joyce Kiria aibuka tena na issue ya mumewe lakini awamu hii amewachana wanaombeza. Instagram: joycekiriasuperwoman: Watu wangu Nifunzeni jinsi ya kusonya na kunyali nyumbu wote waliotoka povuuuu...
1 Reactions
114 Replies
14K Views
Tumelalamikia Kwa Mrefu Mno, Juu Ya Suala La Makampuni Ya Visimbuzi Kutuchaji Gharama Za Katazama Zile 5 Local Channel, Ambazo Tokea Awali Tuliambiwa Ni Za Bure,But Sasa Mwaka Na Nusu Tunalipishwa...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Hawa wanasiasa maarufu watatu ukiangalia historia zao za utotoni zinafanana wote wamepata malezi ya mzazi mmoja mmoja ( mama). Ila katika kuyafikia mafanikio ya kisiasa walipitia njia " ngumu"...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hizi habari zingeanzia Tanzania tungesema jamaa kama kawaida yake anatengeneza kiki, kumbe ukweli ni kwamba, asilimia kubwa ya yale yanayosemwa kwamba jamaa anatengeneza kiki; huwa yanatengenezwa...
2 Reactions
41 Replies
12K Views
Ikiwa zimepita siku 10 tu toka tuanze mwaka huu wa 2018. Mwanzilishi wa Facebook Mark Zucckerberg ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4 ( TRILIONI 8.9 za kitanzania) kulingana na orodha ya...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
mbosso khan anaendelea kutoa dozi ya kuua mtu. wale haters endeleeni ila jueni ajaja kushndana na mtu anafanya yake mziki mzuri unaongea hakuna anaeweza zuia hii talent.... watu wanaweweseka...
0 Reactions
32 Replies
21K Views
Naangalia hawa madogo,naona leo ni stori za diamond tu karibia lisaaa lizima,huku wakimpiga vijembe Sallam eti awaachie msanii wao...kumbe wanampenda sana Chibu na wananjua kabisa bila chibu...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Back
Top Bottom