Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo. Kuanzania Malaria NO More, hadi Sakata la Lady JayDee. Ruge anatuhumiwa kuwa kiongozi katika kuziba rizki na maslahi za...
Dar es Salaam. Mmoja wa mameneja wa Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, Sallam Sharaf amekanusha kuwa na matatizo na uongozi wa Clouds Media Group na kwamba wana ushirikiano mzuri wa...
Sitii, wala kuongeza neno, alichosema ni:
Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya...
Sina nia yakumdhalilisha au kumtusi au kumdhihaki Mange Kimambi lakini huwa najiuliza huyu dada kweli yuko sawa kiakili? Ukiangalia matendo yake, maneno yake, haiba yake na maandishi yake unapata...
Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi.
Fid Q amesema...
I grew up listening to Bob Marley.
His music influenced me in so many ways and continue to do so.
From his politically charged lyrics, to songs of freedom we are all witnesses to one of God's...
Najiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.
Maana ukimfatilia...
mangekimambi:We uleiba hii account ya @wemasepetu ujue soon Wema atarudishiwa account yake. Instagram watakunyang’anya watamrudishia, ungesaidia sana watanzania wanaotaka kulikomboa taifa kama...
Zipo sehemu nyingi kwenye video zilizojificha ambazo zina makosa au zina tupa uhalisia katka kitu flani
Tuanze na
video ya kwanza ambayo ni ya MUNYAMA diamond platnumz ENEKA video hii...
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Aslay.
HIT MAKER wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka pamoja na mkali wa Singeli, Seleman Jabir ‘Msagasumu wanatarajiwa kupewa tuzo maalumu ya heshima ya ufalme katika Sikukuu ya Wapendanao...
PRINCE AL WALEED BIN TALAL KWENYE PRIVATE PLANE YAKE YA AIRIBUS A380
Hapa sizungumziii viji private jets vya kukodisha au lile ngalawa ambalo mabilionea wanaenda nalo kisiwa cha mbudya.
Halafu...
DAR ES SALAAM: Kufuatia sakata la video akiwa anafanya vitendo vya kimahaba na mume wa mtu, Kinjekitile Kingunge ‘Kinje’ kusambaa mitandaoni hivi karibuni, muuza sura katika video mbalimbali za...
The news cycle giveth and the news cycle taketh away.
Although Kim Kardashian's so-called "Bo Derek braids" caused a deserved frenzy earlier this week, the impact of her ignorance has all but...
Mengi yanazungumzwa.. G nako nae katoa ya moyoni.
Mwisho wa siku muziki wetu lazima ukue atuwezi baki palepale kila siku eti sababu tukisonga mbele kuna watu watachukia.
Kwa wasiofatilia mambo wanaweza shangaa naposema WCB wamebaki wakiwa. Yes, sababu awajawai toka kwenye public na kukiri haya mambo nayoenda kuyasema hapa.
Ni wazi kama utafanya tafiti yako ya...
Habari yenu wakuu,
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kipanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha...
Mtuhumiwa namba moja ambaye anahusishwa na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini humo.
Kijana Wamala Godfrey mwenye umri wa miaka 28 ndiye...
Yule mtangazaji wa clouds fm aliekua na mke wa boss wa clouds ameonysha mjengo wake ambao haujakamilika akiuita small whitehouse, ikiwa half court ya basketball na swimming pool likiwa linajengwa...
Wasalaam wana jamvi.
Kwenye sherehe harusi ya Msanii wa muziki Shilole baadhi ya wasanii walitoa ahadi nyingi na wengi sana walitoa ahadi lakini kulingana na taarifa za kamati ya ufatiliaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.