Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama hupendi na kufuatilia kashfa zao Utapenda nyimbo zao. Wanasuswa na media wanasahau dunia ya Leo ni ya kidital ni online advertisement inakutoa. Kupitia smart phone unaweza kukaa mwaka...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Msanii wa filamu bongo ambaye hivi karibuni amekuwa akipokea michango kutoka kwa watu mbali mbali kwa ajili ya matibabu, ameweka wazi moja ya sababu iliyofanya ndoa yake na kigogo wa CCM Sadifa...
5 Reactions
71 Replies
10K Views
Habari, Mimi nilisoma vitabu vya mwandishi will Gamba wakati nimeanza kujua kusoma has nikiwa darasa la tatu na nne.Ningependa kufahamu kama kuna mwenye taarifa za huyu mtu.Je huyu Will Gamba...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Uganda. Uongozi wa Jiji la Entebbe nchini Uganda umeifunga Baa ya De ambayo mwanamuziki Moses Ssekibogo maarufu kwa jina ‘Mowzey Radio’ alikuwapo na kujeruhiwa wiki mbili zilizopita...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Kwa anayejua,mrembo wetu Kipenzi,Tunda Sababasita amepeleka mimba wapi? Mbona nilimwona akiwa na mimba kubwa tu akipokea pongezi nyingi?Aliyeiba mimba ya Tunda naomba airudishe!
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Padri aliyeendesha misa ya kumuaga marehemu #MowzeyRadioaitwae Katerega Kiibi jana kaendesha misa vizuri. Nilichopenda kutoka kwake aliongea ukweli wote bila kuficha kitu mbele ya kadamnasi...
16 Reactions
51 Replies
7K Views
Msanii Radio wa nchini Uganda ambaye alifariki Februari 1, amezikwa leo kijijini kwao Nakawuka nchini Uganda, na kuhdhuriwa na maelfu ya watu kutoka sehemu mbali mbali za nchi hiyo na wasanii wa...
3 Reactions
28 Replies
10K Views
Moja kati ya sector zinazokuwa kwa kasi barani Africa ni fashion na entertainment. Pia nimoja ya sector inayo tengeneza multimillioners wengi Africa. Ma makeup artists wamejizolea sifa yakushiliki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamuziki wa kimataifa Rihanna anategemewa kuhudhuria mkutano mkubwa nchini Senegal,lakini vikundi vya dini nchini humo wamekataa kumpokea, chombo ch habari cha Jeune Afrique kimeripoti...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kuonyesha gemu ya Bongo Fleva inashika mizizi wasanii Aslay na Nandy siku ya leo wamevuta mkataba mnono wa takribani milioni 700 na kampuni ya kuchezesha bahati nasibu ya Tatu Mzuka...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa wale wakufatilia album za mbele last week migos wali drop culture 2 but naona still culture 1 ni motoo kwa walioiskia pia mnaonaje?
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Nimekuwa nikipata muda japo si mara zote kufatilia vipindi vya Bongo movie vya huyu mtangazaji machachari Joyce Kiria tangu akiwa Channel ten na sasa EATV,kwakeli namkubali for me she is...
1 Reactions
76 Replies
25K Views
Habari wanabodi. Mwanasiasa kijana anayependwa mno na vijana wenzie, Mheshimiwa January Makamba Leo ametimiza miaka 44. Mheshimiwa January amezaliwa January 28/1974. Kwa niaba ya wana Jamii...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wiki iliyopita Snoop Dogg alitangaza rasmi kuwa atakuwa ataachia albamu yake yenye nyimbo za injili iitwayo Bible of Love hivi karibuni.
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za kunyapia zinasema kuwa usiku wa jana damu imemwagika. Baada ya vijana wa Wcb kuwapa kichapo cha mbwa mwizi wambea wa Silawadu sudi brown na kwisa mzee mkavu. Inasemekana sudi brown...
5 Reactions
104 Replies
22K Views
Wasalaam Baada ya Queen Darleen kumfumua Baba Diamond, Baba yake mzazi huyo na yeye amemlipua Queen Darleen. Zari, Wema na Mama Diamond watajwa. . Akizungumza na online TV moja, Queen Darleen...
7 Reactions
116 Replies
13K Views
Wakati Eminem alimpo mdisi Donald Trump wakati akiwa na BET na baadaye kwenye nyimbo kadhaa katika albamu yake iitwayo Revival, Rais huyo hakumjibu mahali popote kwenye vyombo vya habari vya...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Usiku wa kuamkila leo WCB ikiongozwa na Diamond Platnumz, wamemtambulisha msanii wao mpya Mbosso ambaye alikuwa Yamoto Band. Hafla ya kumtambukisha msanii huyo iliudhuliwa na watu mabalimbali...
2 Reactions
59 Replies
19K Views
Mitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian...
4 Reactions
63 Replies
17K Views
Back
Top Bottom