Malcolm X (born Malcolm Little; May 19, 1925 – February 21, 1965), also known as El-Hajj Malik El-Shabazz (Arabic: الحاجّ مالك...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba akiwa na kundi wametembela hospital mbali mbali na kuwaona wagonjwa , Kwa kuwa walipita Chato wakaamua kumuona mama Magufuli nyumbani kwake
Kijana Ali...
Happy New Year. It's time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017!
KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA
Contact Exclusive Agent & PR @matthewmensah for...
Mkazi mmoja wa Dodoma anayejitangaza kama nabii, Tito Machija amesema watu wasimuone kuwa hana akili kutokana na mahubiri yake ambayo yanatofautiana kwa kiasi kikubwa na imani za waumini wa dini...
kwangu hii ni the best cut-up za cut-ups zote za Coke studio. Cassper sio wa mchezo ukisikiliza kazi zake za nyuma kwenye Album ya Tsholofelo utasema ni rapper ambaye kakosa stylistics na...
Namsikia msanii Ruby anaomba msamaha kwa Clouds Media kupitia XXL. Sijui ilikuwaje akaleta nyodo wakamtupa naona baada ya hali kuwa ngumu kajirudi.
Nyinyi wasanii msisikilize watu wakiwajaza upepo...
Mwanzo ulivyojing'atua clouds watu tulikupongeza sana kwa kukuona jasiri,
ila kipindi hiko hiko ukatoa diss track kwenda kwa clouds iitwayo Wale Wale,
Ok, tukasema labda umeamua kujiponya nafsi...
Msanii wa muziki Bongo, Mr. Blue amesema kwa sasa hataki tena kupatiwa tuzo kutoka Bongo kutokana na kunyimwa kwa muda mrefu.
Mr. Blue ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa amekuwa kwenye game...
Msanii wa muziki Bongo, Ruby amemaliza tofauti baina yake na Clouds Media Group.
Muimbaji huyo ametumia kipindi cha XXL kuwaomba radhi wale wote aliowakwaza katika chombo hicho cha habari...
Giggy Money asema yeye ataongea na naibu waziri kama wanavyotaka. Anasema hakuna uhuru tena hakuna mtu anaweza kuwa na uhuru tena.
Pia Giggy Money anasema wamemjaji kwa picha ya March mwaka jana...
Staa wa muziki kutokea nchini Marekani Rick Ross leo January 26,2018 amechukua headlineskatika mitandao ya kijamii baada ya kujulikana kafuta picha zote za Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa...
Kati ya watanzania walionifurahisha ni vijana wa bongo fleva na bongo movie ingawaje kazi zao sizipendi.
Wamethubutu, wamepambana, wameweza na wanasonga mbele.
Naona Diamond anawekeza kwenya tv...
Salam.
Wako wapi maproducer wa bongo flava wa miaka ya hivi karbuni.
Wapi Marco Chali, Ramaa, Bob Jr na Sharobaro records, AM records, Man walker, jamaa mwingine wa Tetemesha records ya mwanza...
'Hey-Why' na mchumba ake wali chumbiana kwa mbwembwe kwa matumaini ya kuishi happily ever after baada ya kuvuta mkwanja mrefu toka TIGO.
Lakini hadi leo mwaka umepita tangu uchumba utangazwe na...
Mwimbaji staa tokea nchini Colombia, Shakira anaweza kufungwa jela kutokana na kosa ambalo limekuwa likiwapeleka mastaa wengi Mahakamani nchini Hispania la kushindwa kulipa kodi.
Mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.