Mi naona kama wanashabihana for some character huwa siwaelewi hawa ndugu zetu
Any wayz.
Najua wana bodi mna mengi kuhusu hawa watu
Hasa ki mienendo yao.
Mkali wa muziki wa Chakacha na Mduara AT ambaye jana tu ameachia wimbo wake mpya wa 'Kazi yao', ametoa ushauri mzito kwa Babu Seya akimtahadharisha kuhusu kiki.
Ikiwa ni muda mfupi tu tangu atoke...
Mastaa wetu wa Kibongo mmelewa nini na jina "Lulu" mnatuchanganya wadau wenu. Ona hapa
1. Lulu Maiko
2. Lulu Diva
3. Lulu Semango
4. Amber Lulu
5. Aunty Lulu nk nk
Wataalam wa "Brand Name"...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa tangu amtongoze mzazi mwenzie, Zari mwaka 2014 ndio ilikuwa mara yake ya mwisho kufanya hivyo hajawahi tena kutongoza mwanamke...
Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke ayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza.
“Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo...
The lendary and only one trumpeter wa Afrika Kusini,Hugh Masekela amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78.
Kwa vijana wa kileo itakuwa vigumu kumfahamu huyu gwiji wa jazz toka Sauzi.
Lakini kwa...
Hello guys
Kwa mnaofuatilia vizur patrick ngowi alivokuwa na miaka 27 aliingia kwenye forbes africa under 30 list huku kampuni zake za solar ikiwa na revenue ya 2million usd kwa mwaka, akaitwa...
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi...
Mama mzazi wa muigizaji wa filamu hapa nchini, Irene Uwoya amefunguka na kueleza kuwa hamtambui mume wa sasa wa mwanaye, Dogo Janja na anachokijua yeye ni kuwa mume wa ndoa wa mwanaye amefariki...
Habari wanabodi,
Jana majira ya saa nne nilipokea simu kutoka mtu wa karibu kunifahamisha vifo vya members wa team ya Diamond online,Platnumzmond na Nevvo Msafi ,walipata ajali maeneo ya...
BARUA KWA MAMA.
Jina langu ni Aslay Isihack, jina hili alinipa Mama yangu mwenyewe Bi. Mozza kutokana na maisha niliyopita ya Muziki wengi wananifahamu kwa jina la Aslay.
Barua kwa Mama yangu...
Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho
Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama...
Habari wadau.
Najua wengi tumeona habari za ajali ya vijana wawili ambao ni mashabiki tu wa WCB >> Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia
Imekuwa huzuni mitandaoni...
Mtangazaji mahiri aliyetikisa na kipindi cha Take One ya Clouds TV, Zamaradi Mketema amewajibu waliodai kuwa baadhi ya jumbe zake kwenye Instagram zinatokana na kuwa na msongo wa mawazo(stress)...
Mwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya 'Mipaka' Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii...
Nyamirambo - Kigali, Watu kutoka huku na kule walifurika siku ya Jumamosi Januari 20, 208 kumuona mubashara msanii wa kitanzania Diamond Platnumz.
Msanii huyo alikwenda sehemu inaitwa Tapis Rouge...
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.
Ili kama si yeye anayepost...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.