Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz
4 Reactions
164 Replies
20K Views
Faiza Ally, aliyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini na mwanamuziki maarufu hapa nchini (Sugu) amesikitishwa sana kitendo kilichofanywa na mzazi mwenzio huyo bungeni baada ya kuonyesha kidole cha...
2 Reactions
42 Replies
11K Views
Habari wakuu! Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi...
7 Reactions
94 Replies
10K Views
Wasanii wa Bongomovie walijumuika pamoja kushiriki kwenye mazishi ya mama mzazi wa Msanii mwenzao Johari. Mama Johari amezikwa January 18, 2018 na msiba ulikuwa nyumbani kwake Mburahati DSM.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star. Mwendesha kipindi ndugu James amesema...
8 Reactions
103 Replies
10K Views
Tangu Chadema wabadili gia hewani na kumleta mgombea wa " kimkakati" hapa kinondoni, pamezuka mjadala mpana miongoni mwa wanaccm. Binafsi najiuliza, kwani muda hauruhusu kulirejea zoezi la kura za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je, ni nani zaidi kati ya mafahari hawa wawili?
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Kama mdau wa muziki nimekuona nikimuangalia huyu mwanadada tangu alipotoa ile Come over nikaona ana kitu. Jana nikiwa katika page ya nako 2 nako niliona wametoa wimbo mpya na kuutazama lazima...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’ ambapo amesema kuwa bei ya midoli hiyo ni kubwa kulikuwa hata gharama ya kununua wanawake wanaojiuza...
2 Reactions
109 Replies
23K Views
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote...
14 Reactions
110 Replies
16K Views
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya. Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
There is a young man from Mtwapa, Mombasa who has left many social media shocked by how much he resembles Diamond Platnumz. The fella who is a bodaboda rider goes by the name of Patrick as...
6 Reactions
38 Replies
8K Views
Email ThisBlogThis!Share to TwiShare to Facebo
1 Reactions
186 Replies
33K Views
Mwanamitindo wa kimataifa Amber Rose anatarajiwa kufanya upasuaji wa matiti yake hivi karibuni. Mrembo huyo ambaye alitangaza kuchoshwa na ukubwa matiti hayo ameamua kutilia mkazo suala lake la...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mpaka leo hii navyoandika hapa Deadbody sijawahi kuona kundi la muziki la wanawake kama hili Ni kundi lililojumuisha wadada watatu wakijulikana kama DESTINY CHILD Beyonce Knowles Kelly...
2 Reactions
62 Replies
10K Views
Kwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana. Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You...
43 Reactions
310 Replies
110K Views
  • Closed
Mzee William akiwa na marehemu mama yake Mzee William akiwa na mama yake wa kambo Pamoja na kutokumkubali Le Mutuz kutokana na itikadi za kisiasa. Lakini nimeumizwa sana kejeli dhidi yake...
35 Reactions
131 Replies
27K Views
Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa! Oneni akili za wanaume wa Dar!
7 Reactions
111 Replies
17K Views
Yupi msanii wako bora 2017 Mimi kwangu ni Saida Kalori omwana wabukoba(Mtoto wa Bukoba) ... Tinabingi byakugamba ninshaba omkama amwebembele.(Sina mengi ya kusema, namuomba Mungu ambariki)
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Back
Top Bottom