Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hitmaker wa Makulusa, Rayvanny aliyesainiwa kwenye label ya WCB-Wasafi iliyo chini ya Diamond Platnumz, amepatiwa tuzo na YouTube. Na hawa ni baadhi ya mastaa duniani waliopewa tuzo na YouTube...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa kweli huyu mrembo unapomfananisha na bibi kizee wa Uganda ni kumkosea heshima Mobeto! Tumia dakika mbili kumuangalia na wewe
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa...
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Msanii Ali Kiba anaye amezindua biashara ya kuuza kofia aina ya Cap huko Nairobi Kenya, gavana wa Mombasa Hassan Joho ameonekana akizipigia promokwa kuzivaa Ali Kiba pia ameibuka kididea kwenye...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Rapper Sean John Combs maarufu kama P Diddy amechangia kiasi cha dola 100, 000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 224 za kitanzania. Msanii huyo ametoa fedha...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Inasemekana hali ya steve nyerere bado sio nzuri ,aomba kama kuna aliyemloga amsamehe ======= Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo...
3 Reactions
257 Replies
72K Views
Inasemekana ule msemo wa chenye mwanzo kina mwisho umetimia kwa hii couple ya diamondplatnumz na zarithebosslady imevunjika rasmi,chanzo cha mvurugiko huo ni usaliti wa diamondplatnmz Inasemekana...
11 Reactions
114 Replies
20K Views
Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US? Basi ndio huyu, She is 41;but look at her yashhhh, Salut BTW,she is a sister of a former...
11 Reactions
233 Replies
109K Views
Habari zenu ndugu zangu Watanzania, Jana nilibahatika kutazama kipindi kinaitwa Shilawadu, na mwishoni yule mtangazaji akasoma makala iliyoandikwa na Wastara, waraka ule unatia huruma sana na...
8 Reactions
59 Replies
11K Views
Mim huyu kaka aigize sterling ama jambazi napenda tu movie zake,, Hapa nilipo nimechelewa kwenda sehemu ilianza kuonyeshwa movie yake ya crank kama sikosei hakika huwa hakosei. Sio kwamba...
11 Reactions
130 Replies
17K Views
lemutuz_superbrandtzMKATABA MPYA MIAKA 2 KUWA BALOZI WA CONTEMPORARY PROPERTIES COMPANY LIMITED.....After the Beach back to Serena Hotel a Business meeting with Team Contemporary Properties...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Mwaka 2018 umeanza vizuri kwa nyota wa Tanzania diamond platnumz baada ya usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria kulifanyika tuzo za Sound City MVP na kuudhuriwa na mastaa wote wa Nigeria. Diamond...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Nimekutana na kaubishi jioni hii . vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae . Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi...
1 Reactions
93 Replies
17K Views
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa. Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita...
34 Reactions
169 Replies
23K Views
wadau huyu mtangazajiwa chanel ten cyprian Musiba ametokomea wapi sijamuona kwenye kipindi cha sport long time au anajipanga kula za maoni ubunge 2015 ?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala imekubali kusikiliza maombi ya kampuni ya Tigo, kuhusu fidia ya Sh2.1 bilioni ilizoamriwa kuwalipa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Hamisi...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.
5 Reactions
644 Replies
99K Views
Sherehe ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake baada ya muoaji kufanya kufuru ya aina yake. Sherehe hiyo iliyohusisha msafara...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona. Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo...
38 Reactions
262 Replies
44K Views
Back
Top Bottom