Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekenaTunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao...
Anaandika Kibona Dickson:
Huwa sina tabia ya kujadili mambo ya watu binafsi.Leo,ngngoja nitoe maoni yangu juu post ya Joyce Kiria,inayozunguka sana kwenye social media.
Joyce Kiria ni mwanamke...
Msanii wa muziki Bongo, Dully Sykes amesema baadhi ya watu wamekuwa wakihofia kumpa nafasi anayostahili katika muziki kwa madai kuwa huwa hapandi ndege wakati yeye ndiye msanii wa kwanza Bongo...
Anaandika Dada Joyce Kiria wa Wanawake Live!
--------
Nimekunwa mnoooooo na hii post ya Mange huko www.u-turn.co.tz hii post nimecopy ukitaka orijino ya Mange nenda www.uturn.co.tz
MANGE...
....CONGRATULATIONS....JOYCE KIRIA...! Starring Bongo Movie na Mtangazaji wa vipindi vya Bongo Movie na Wanawake Live vinavyooneshwa na ting'a kali No 1 kwa vijana aka 5-EATV,Joyce Kiria kwa...
Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Wanawake Live Bi Joyce Kiria leo 06/03/2012 ameweka bayana kiwango chake cha elimu na kusema kwamba licha ya kwamba ameishia darasa la saba tu lakini ni...
Nimemchunguza kwa muda mrefu na hatimaye nimegundua kuwa msanii kutoka tiptop connection Tundaman aliyewahi kutamba na ngoma kama vile starehe gharama , nipe ripoti nk anamchukia kupita kiasi...
Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa...
Msanii Mkongwe wa Bongo Flava, Afande amefunguka sababu ya kukaa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya.
Mkali huyo wa rhymes ameiambia Planet Bongo ya EA Radio yupo mbioni kutoa ngoma mpya kwani watu...
Wadau huyu jamaa amesikika kwenye beat nying sana mpaka sasa, achilia mbali kusikika tu ila ameweza kuleta ladha ya kipekee katika bongo fleva.... Wasanii kama Aslay, Rayvan, Y tonny, Timbulo na...
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Faiza Ally amempa ushauri msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuwa kwa sasa ni muda wake wa kula ujana na kuizunguuka dunia na sio muda wa kujipa...
Heloo!
Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.
Wawili hao...
Habari wadau,
Katika vijana wakubwa sana kuzaliwa Africa. Diamond huwezi muweka pembeni.
According to forbes George weah ndio most famous african son kuliko wote.. baada ya Nelson Mandela ambaye...
Jamani jamani haka katoto Tunda katakuja kuvunja ndoa yangu siku si nyingi walahi.
Yaaani haka katoto kamebarikiwa kila sekta hakika nathubutu kusema aliumbwa na kunakshiwa na udongo wenye...
Msanii wa kike wa muziki wa Pop nchini Misri ajulikanaye kwa jina la, Shyma amejikuta mikononi mwa polisi Jumamosi ya wikiendi iliyopita baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ujulikanao kwa...
Habari wanajamvi.....
Hili post/thread halihusiani na siasa........
Jana nilimwona wastara wakati anahojiwa na Vijana wa shilawadu (Kwisa na Soudy Brown) kiukweli huyu dada n mgonjwa na...
Wadau wa JF,
Wapo wasanii/ awnamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.