Ni zaid ya miaka mitano sasa Fid q anatupiga kalenda kuhusu ujio wa album yake ya KITAAOLOJIA na Jay moe nae anatuzuga kuhusu album ya MOCUMENTARY. Na mwaka huu Joh Makini naye kaja na nae...
Habari zenu wadau wa burudani
Team kiba na team diamond naomba mtupe nafasi kidogo maana naimani wengi wenu hamjui uyu mtu ila kwa tarifa yenu kuna wasanii walishafanya makubwa uko nyuma sema...
Yawezekan zipo nyuzi nyingi kuhusu Wasafi FM na TV ila mod naomba usiunganishe uzi huu ili mawazo yangu hatimae yamfikie Fella, Salaam na Tale.
Ninashauri hawa wasemaji wawili Manara na Muro, kama...
Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.
Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa...
Vichwa vya wasafi group kwa sasa vimejaa starehe tu na vinafikria ngono na pombe. Hawawezi kujishughulisha kutunga tena wimbo kwa kutumia vichwa vyao kama ilivyokuwa zamani. Alianza kubwa lao...
Hiyo ndiyo hali halisi ya sanaa ya bongo kwa sijui ni kwa sababu vyuma vimebana au vipi,jibu wanalo wao
wasanii wa bongo kwa sasa wale wenye majina wamebaki kupiga copy na kupaste mradi majina yao...
Ndiyo wakuu ! Kwa walio na access to Radio na Tv cloudz ,taratibu za kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa The Great zinaendelea. Tayari viongozi wa kitaifa wamesha wasili. Vilevile mwili wa...
Huyu ndio sepenga wa 2018, mambo ni motooooo..
Ila mi nasemaga skuzote wema asingemkabizi mchina hlo kalio lake alikua ni moja kati ya wanawake warembo kuwahi kuzaliwa kwenye ardhi hii ya...
Msanii Steve Nyerere anasema haoni ajabu wanawake kujigonga kwake kwa kuwa yeye ni super star hapa bongo na pia ana pesa chafu,
Steve ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wapo wanawake...
Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa...
Nimekuwa nikiongea na wanamuziki wengi wa kutoka DRC zamani Zaire wanasema mafanikio yao yanachangiwa sana na kuheshimu mchango wa Mwalimu wako wa Music.
Mfano Mwanamuziki kama Koffie Olomide...
Ndugu yangu Le Baharia Lemutuz, the Big show, Sauti za Umeme @NY amepata ajali nyingine ya kisiasa pale kigamboni baada ya kuangukia pua katika uchaguzi wa viongozi. Waliopita kidedea ni Ndg...
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu jana alionekana viwanja vya Hilton Double Tree Hotel akiwa anavinjali na mzee mzima Le Mutuz anaejiita "The King Of All Bongo...
@ My new home 3 bedrooms apartment at downtown bongo Jamhuri Street, nilipoanza kuikarabati miezi sita iliyopita na leo baada ya kuhamia I just want to thank my God kwamba 3 years za ku hustle...
Le Mutuz amepost hii kwenye blogu yake
Makelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.