Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.
Askari...
Leo katika pitapita zangu nikaona nijaribu kueleza kidogo juu ya umri wa dada yangu wa Igunga Zuwena au maarufu kama Shilole.
Nimemkumbuka kwa mambo mawili; Mosi kama mtu ambaye aliwahi kuwa...
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya...
[emoji121]
WAKUU,
Kwa wajuzi wa Old Schooled Bongo Flava wanamtambua huyu JAMAA WA kuitwa SUMA G AKA MZEE WA VITUKO USWAHILINI, POMBE, TUNAJISALITI n.k.
Katika harakati zangu nimemwona jamaa...
Mkubwa Fella amejitoa sana kuwasaidia wasanii wadogo hadi kufika mafanikio ...ambayo wao wasanii wanamkubali kila siku.
Nimesikiliza Sporah akiwahoji vijana wa Yamoto Band Fella amewasomesha hawa...
Mwanamuziki mkongwe na maarufu Afrika Mashariki na Kati ambaye alikuwa anatokea nchini Kenya Gabriel Agoya Omolo anayejulikana kwa wimbo wake maridhawa wa ‘Lunchtime’ wimbo ulioimbwa mwaka 1970...
Kwa habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba mwanamuziki ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa hapa nchini na Africa kwa ujumla Diamond Platnums Chibu Di Chibu De a.k.a Muuza Karanga anataka...
Serena Williams amefunga ndoa na mwanzilishi mwenza wa Reddit Alexis Ohanian katika harusi kubwa iliojaa mbwembwe za aina yake ya mwaka huu.
Nyota akiwemo Beyonce, Kim Kardashian na Eva Longoria...
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.
Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso .
Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini...
Ni steve wa bongo movie,anaumwa sana za chini ya kapeti na imefanywa siri lo ila shishiii ndio katujulisha yakaibuka mengine tena binti analalama,,sina mengi leo
Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa...
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai...
Tanzania kuna vituko aisee,huyu Mbongo movie alishawahi kuhojiwa na kusema yeye haangalii bongo movie( sekunde 0:35-0:43) leo nimemuona kwenye maandamano ya ku support bashite kuzuia movie za nje...
Baada ya siku kadhaa muigizaji Irene Paul, kupokea Tuzo ya muigizaji bora wa kike mwaka 2015 (TAF) , Msanii huyo amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya hivi karibuni kufanyiwa mahojiano na kituo...
#TANZIA
Mchora katuni maarufu ya SOKOMOKO Thaddei Thomas Marealle, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Kairuki.
Taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa kaka yake aitwaye...
Dar es Salaam. Wakati siku 14 zilizotolewa na kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart & Co Ltd, kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tip Top Connection Limited kutekeleza amri ya Mahakama zikikaribia...
Je unafikiri umemaliza mwaka vibaya?
La hasha kabisa!Kuna tetesi kuwa mlimbwende Kylie,amwagwa na mpenzi wake!Tena akiwa mjamzito.
Usiombe ikukute.. waweza kuzaa siku sio zako.
Namwonea...