namuona hana raha ,,ana furaha ya kuvaa shela tu,au karogwaa ,mchagua nazi sana mwisho hupata koro..
Huyu kaka kaangalia pembeni sura ngumu kweli akigeuka si tutakimbia mweee ndoa hizi kuolewa ili...
Mtaalamu wa miondoko ya R&B anaitwa Myron Lavell Avant, maarufu kama Avant mzee wa "Separated"; "My First Love", bila kumsahau mwanadada KeKe Wyatt; na "Read Your Mind".
Kuzaliwa April 26, 1976 (...
sasa ni lunchtime
tufunge makazi
twende kwa chakula
tuje tena saa nane
wengine wanakwenda
kulala uwanjani
kumbe ni shida ndugu
njaa inamwumiza
wengine wanakunywa
soda na keki
huku roho yote
kwa...
Hbr wapendwa
Najitokeza kumuusia mdada Hamisa Mobeto.
Sikufahamu lkn nafuatilia kinachoendelea kukuhusu.
Ninafarijika kuwa bado una sehemu ya hofu ya Mungu kwa kuzingatia hata maagizo...
Huu ni mtazamo tofauti na ule ufanananishao kifo cha msanii mkongwe wa bongo movies, Steven Kanumba, na kifo cha Tasnia ya filamu Tanzania: yani, Kupungua kwa mapato na kufifia kwa majina na...
Haya haya wale wapenda ubuyu, stori ya town ni kwamba wema sepetu sasa yupo kwenye penzi zito na msanii maarufu duniani, ajulikanae kama mohombi: staki kusema sana tazama video yao hii
Muimbaji huyo amesema taarifa hizo hazipaswi kuaminiwa na wanaozisambaza ni wale wenye nia mbaya ya kumchafua.
“Sijawahi kutumia dawa za kulevya na kama kuna mtu yeyote anayeshupalia hicho kitu...
Wasanii kama Ben pol,Joh makini,Ali kiba,jide, Darassa, Belle 9,Mwana Fa,Barnaba na wengine wengi. Yaani hakuna hawajapiga shows msimu huu wa sikukuu. Kumbi kama Dar live,samaki samaki,maisha...
habari wadau..
nimekutana na tunda man nikakumbuka ni msanii wa tip top na bosi wake ni babu tale...
naona bosi kama ana upendeleo vile.. nikitazama video za WCB ni za ukweli zinafanyika sana...
Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu anaona fasheni kuanika hayo makalio yake nje.
Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini? Chupi zenyewe mtumba unaokotaga...
Naan kama ilivyo kwa wengine pia mimi ni mpenzi mkubwa sana wa BongoFlavor, Na leo nilikua nafatilia kwa kina kuhusu lifestyle ya mwanamuziki ALIKIBA ambae kwa kawaida ni ngumu kujua details zake...
Ni muimbaji wa kike ambae amewahi kupamba vyombo vya habari akidai kuzaa na msanii wa kufokafoka Mtunzi na kinara wa tungo iliyoleta gumzo na mshikemshike Nchini ya 'Wapo'.
Huyu dada alikuwa...
Tukiangalia mwaka 2016 katika wasanii wa bongo fleva nani aliefanikiwa katika muziki wake na kuingiza pato kubwa mwaka 2016
Diamond platnumz huyu ndo msanii aliepata mafanikio zaidi Tanzania
Hizi...
Kwa kweli naona hapa mzee Abdul kiroho kitakuwa kinamuuma kweli kuona yeye kutopewa nafasi ya kuhudhuria kwenye Bday ya mjukuu wake Nillan badala yake amepewa Mume mwenza (Shamte)
Hili ni pigo...