Hitmaker wa Seduce Me, Alikiba amefunguka juu ya mahusiano yake na Mange Kimambi.
Mara kadhaa Mange amekuwa akimpa support kubwa msanii huyo huku akimtetea kwa kila hali endapo hali ya...
Kamati ya Miss Universe Tanzania chini ya Mkurugenzi na muandaaji wa Shindano hilo Maria Sarungi-Tsehai inawakaribisha Warembo wote kwenye usahili wa MISS UNIVERSE Tanzania 2017.
Vigezo ni:
-...
Mwanamuziki Diamond Platnumz amezidi kuonesha ubora katika muziki wa Bongo Fleva kwa kushinda tuzo nyingine hapo jana Oktoba 9,2017.
Usiku wa Oktoba 8 kutoka Dallas huko nchini Marekani...
Habari ndugu zangu..
Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one.
Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia
Nilidhani aliacha hii tasnia
Inasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond...
Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.
Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki...
Nadhani wengi wenu humu mnamfahamu huyu msanii wa miondoko ya Kufoka wanaita HIP HOP, alikuwa moja ya matunda ya Bongo star search..
Ni muda sasa sijamsikia na Wimbo wowote ule mpya ...
Herehoa?,
Kutoka vyanzo vya kuamkinika kabisa vinadai aliyekuwa mume wa star wa bongo movie aunt Ezekiel, anaejulikana kwa jina Sunday Demonte aachiwa guru,
Swali:Hivi kumbe mkata viuno alichukua...
Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie...
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Kitu kikubwa ambacho anacho huyu...
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.
Wito huo wa Diamond...
Tarehe kama ya leo Octoba 7,1951 alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Hongera sana mzee Kikwete
.......lakini umetuachia donge watanzania
Habari wapendwa..
Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006 na CEO wa kampuni ya ENDLESS...