Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote...
Mwanamuziki aliyekuwepo Yamoto Band na anayetamba na ngoma mbalimbali kama Angekuona, Teja, Mhudumu, Natamba, na nyinginenzo anadaiwa kumtapeli meneja anayemuweka mjini
Meneja huyo anadai wana...
Habari ya mujini ndo hiyo
Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.
Habari ndo hiyo...
Mayor wa Kampala Elias Lukwago amemlaumu boss wa Kampala Capital City Authority (KCCA) jennifar Musisi kwa kumlipa diamond platnumz zaidi ya milioni 100 huku wasanii wa Uganda wakiambulia kidogo...
Ngoma yake mpya hallelujah, aliyo washirikisha morgan heritage inashika namba moja iTunes kwa mauzo ikifatiwa na love you die aliyoshirikishwa na patoranking kutoka nigeria.
Kwa wale wapenzi wa muziki wa Rock hatunae tena key player wa band ya Linkin Park Chester Bennington aliyefariki jana tarehe 20 kwa kujinyonga nyumbani kwake huko Palos verdes estate Los Angels...
Haya jamani wale Mashilawadu mlioalikwa kwenye Arobaini ya Nillan please msitusahau kutupenyezea maubuyu.
Nillan kaavaje?
Jamani mhakikishe mnaichunguza vizuri nyumba ya Diamond mtupe umbea...
Baada ya kundi la yamoto Band kuvunjika vipande vipande huku kila mmoja akionesha ufundi wa kuimba kivyake, ni wazi kuwa msanii kijana kabisa ASLAY ameonekana kumudu kuimba nyimbo nzuri bila...
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage
Na...
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.
Mc PiliPili naona akijitutumua lakini...
Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views...
Habari zenu wanajukwaa! Bila shaka mu wazima wa afya.
Mwaka huu umekua hauna likizo kabisa kutokana na Kamanda Koffi Olomide Mopao Mokonzi Quadra Korea Man aka Le Treisième apôtre kuachia album...
Mazishi ya yamefanyika Ifakara Kibaoni na ndipo mahali alipompumzisha ndugu yetu Dennis Rupia (Chogo).
Mwili ukiwa unashushwa katika nyumba ya milele
Baba na kaka wa Marehemu, Dennis Rupia...
Wanasema ukigombana na mwanamke chunga mdomo wako,sasa kwa hili linaloendelea kati ya Diamond na Bibie zari ni wazi sasa they are no longer,najiuliza tu siku zari akaja kuadmit zile tetesi za kuwa...
japo nyt kali hivyo hivyo tu. mnamkumbuka? mnakumbuka wakati jamaa analeta ishu za diamond watu wakawa wanamsema sana humu? jamaa alisimama kidete sana kumpa dai promo humu jf na mwisho wa siku...
Nakumbuka kwenye Interview aliyofanya Diamond Platnumz kupitia Leo tena ya Clouds Fm.. alisema kuwa endapo Zari atagoma kumuelewa na kumsamehe yupo tayr kutembea kwa magoti kutoka Hapa mpka South...