Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Rapa B.o.B wa nchini Marekani hivi karibuni ameanzisha kampeni ijulikanayo kama "GoFundMe" ikiwa na dhumuni la kuudhibitishia ulimwengu kuwa dunia ipo flat na si mviringo kama ambavyo wanasanyansi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mashabiki wengi wa muziki nchini bado wapo katika sintofahamu juu ya sababu ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band, mwanamuziki Mh Temba ametoboa siri hiyo. Tangu kusambaratika kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Msanii wa Bongo Mh. Temba amedai kuwa chanzo cha kundi la Yamoto Banda kusambaratika ni baada ya watu wenye fedha kuingia kati. Temba ambaye alikuwa msamamizi na mmoja ya waanzilishi wa kundi...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Kevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito. Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Tangu aende sauzi kwenye birthday ya mama watoto wake akiwa na crews nzima ya wasafi classic, bado sijajua kama kasharudi ama bado analea familia.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’. Mapema...
2 Reactions
61 Replies
12K Views
SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao wamenaswa wakijiachia tena mchana kweupe peee huku Wema akijibebisha kwenye...
0 Reactions
39 Replies
15K Views
Ommy Dimpoz kaachia video ya wimbo wake uitwao Cheche... Video ni nzur
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Pongezi kwa msanii wetu Diamond Hii ni hatua kubwa sana
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili amefunguka sababu za wao kutosaini wasanii. Weusi Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Kihasara’...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Yule rapa mkali anayetamba na ngoma ya sina jambo ameweza kukata mzizi wa fitina juu ya uvumi ambao umezagaa kitaa wa...
1 Reactions
31 Replies
13K Views
Tanzania kwasasa FESTA ni tamasha liloshika kasi na kupendwa na watu wengi kutoka na kuwa na Wasanii wengi wanaopendwa na watu Tofauti tofauti tofauti! Haina ubishi kwa kiingilio cha Elfu 9/10 ni...
0 Reactions
114 Replies
25K Views
Haya sasa Sugu kajibu mapigo
11 Reactions
245 Replies
29K Views
Yule mwanadada machachari na ex wa Mbunge maarufu kutoka mkoa wa Mbeya, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameibuka na kuicharua shule maarufu ya watoto wa kishua kwa kumrudisha mtoto nyumbani kisa...
7 Reactions
96 Replies
14K Views
Habari wanaJF, Ama kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonyeshe hata sehemu zako za siri nje nje..... Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa mi sijui...
4 Reactions
120 Replies
44K Views
Salaam wana jamvi! Baada ya kujiuliza maswali kadhaa nimeamua kuandika huu uzi ili wale wanaowaza kama mimi tuweze kutafakari kwa pamoja na kwa kina zaidi. Nionavyo mimi suala la Diamond...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Waziri wa michezo na sanaa Harisson Mwakyembe amesemabifu la Diamond a Ali Kiba liendelee zaidi kwa kuwa linaleta ushindani wangeendeleza zaidi huoushindani na hakuna haja ya kuwasuluhisha
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom