Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nakupongeza. Ulitoa wito mwenyewe... Wanawake woote wanaohisi wana wanao walete watoto.. Huyu kajitoa. Hakuna cha DNA hapo.. Hongera. UPDATE....... Tuendelee kusubiri umbea huu.. Anakuja.
5 Reactions
52 Replies
14K Views
Wasalaam wana jamvi! Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na...
13 Reactions
138 Replies
15K Views
Ni kwamba ni mkubwa kuliko tamasha la Fiesta au kuna mikataba inamfunga? Tokea mwaka jana hajashiriki tamasha hili.
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Hawa ni watu maarufu sana miongoni mwa vijana, na kwa nchi zenye wanamuziki mashuhuri huwa mambo ya kujitolea na kufanya shughuli za hisani huwasogeza wasanii karibu na mashabiki zao. Lissu ni...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Wakuu pata kisililiza kibao changu murua then mnipe comments(Audio&Lyrics)..composed&performed by me.
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata...
0 Reactions
64 Replies
13K Views
Wana jf mnisaidie ninini kinafanya nyimbo kuwa no 1 trending Maana huwa sielewi je ni namna ulivyotazamwa mara nyingi au inakuwaje hapa
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Katika hali isiyo ya kawaida diamond amewatolea maneno machafu mashabiki waliomkosoa tabia yake ya kutembea hovyo na Wasichana hali inayomkosesha Amani Mpenzi wake, Zari. Hali hiyo imejitokeza...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Wakati sasa wa Ukimwona Remix...... Tunasubiri....
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Akizungumza kwa kujiamini kabisa na mikogo yote unayoijua Wewe Meneja mzoefu wa Wasanii maarufu na wakubwa nchini Tanzania na Diwani wa Kata ya Kilungule kupitia Chama cha Mapinduzi Said Fella (...
9 Reactions
82 Replies
10K Views
Mr. Blue Anadai kuwa kutokana na ustaa aliokuwa nao, wasichana wengi walimtaka na yeye alichokifanya ni kuchagua amtakaye na kumpa mambo. Blue anasema enzi hizo alikuwa playboy haswaa! Anasema...
3 Reactions
63 Replies
10K Views
Sakata la @hamisamobetto... @zarithebosslady Lazidi kuwagusa Watu kibao... Time hi shilole yamemfika hapa.. Ameamua kutoa povuuu : . By @shilolekiuno_badgirlshishi Mwanamke asiyejielewa ndio huwa...
16 Reactions
45 Replies
7K Views
Natumai uko salama na naamini utakuwa unapitia pande hizi. Naomba nikushauri kitu Naseeb Abdul, ni ukweli usiopingika kuwa wewe ni celebrity mkubwa sana hapa bongo na naomba nikiri wazi kuwa mimi...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu...
24 Reactions
76 Replies
9K Views
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu? unamshusha...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Masinema ya diamond kuzaa na wanawake mbali mbali yameendelea kutuvuruga wapenda ubuyu, jana alijitokeza mwanamke mmoja mburundi akisema amezaa na diamond watoto mapacha wa kike, mwanamke huyo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Gangasta's Paradise ni moja ya Miziki mikubwa kabisa kutokea dunia, ngoma hii kali ilirekodiwa mwaka 1995 na mwanamziki Leon Ivey Jr maarufu kwa jina la kisanii Coolio, ndani yake kwenye kibwagizo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom