saa 10:30
washaintroduce kuwa leo watakuwa na diamond. na inaonekana hii interview inasubiriwa sana kwa sababu wamesema wanaungana na clouds tv. sasa hivi zinapigwa ngoma katika kusogeza sogeza...
Msanii wetu mpendwa kesho atakuwa live Redioni na kwenye TV.
Kama tunavyowajua Clouds wao ni watu wa maslahi tu. Kuna mdau alisema lengo lao ni kumshusha Diamond, japo mimi sikuona hilo.
Sasa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kama wewe ni mwana hiphop kuna madai hapa ambayo nimeamua niyalete hapa kwenu wapendwa, madai hayo yameibuliwa na mwana...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Hakuna kitu kibaya kama madawa ya kulevya, mnyama kutoka los Angeles licha ya kuacha na kusitisha utumiaj wa madawa ya...
Pole sana mdogo wangu Diamond Platinum. Binafsi ni mfuatiliaji wa muziki wako na hua nadiriki hata kununua nyimbo zako katika web yako.Mimi ni shabiki pia wa Swahiba wako Ally Kiba lakini lazima...
Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie...
ommy dimpozi ameshikiliwa zaidi ya masaa matano leo baada ya mashtaka aliofunguliwa na diamond kwa kusema alimgegeda maza wa taifa
wadau wamekuja juu sana huko mitandaoni na haya ndo maoni yao...
Mwanza.
Emmanuel Mathias maarufu kwa jina MC Pilipili ameruhusiwa kutoka hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza baada ya kulazwa kwa takriban siku nane.
Daktari bingwa wa upasuaji hospitalini...
Drama za sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe.
Awali katika maelezo yake mwanamuziki...
Leo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa...
Nlipokua naanza mapambano yangu ya mafanikio kielimu na kimaisha fomula hii nliitumia. emu na ww jaribu.
"Hata siku moja usitegemee sapport kutoka kwa mtu unaefanana, ama mwenye malengo kama...
Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini.
Congratulations bro Malisa GJ...
Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba alikuwa ametengeneza tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke...
Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond...
Wakuu hii ishu msipoteze mda wenu 100% kuifuatilia, Diamond platnumz ni mchezo mwingine kauandaa kwa ajili ya kuachia nyimbo mpya ndani ya kipindi cha Leo tena cha cloudsfm na cloudstv
Hii...
Wakuu, yule dj no 1 in town amehamia rasmi Efm radio na E tv akiachana na Eatv pamoja na radio.
Hii ni habari mbaya kwa wale wa Club next door Masaki bila kusahau Jangwani Sea breeze.
Alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.