Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi...
Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya Diamond kutoka na mshiriki wa big brother 2013, Dillish Mathews, Zari amepost kwa page yake ya snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo...
Baada ya ya moto band kufa, hawa vijana sote tunajua uwezo mkubwa waliokua nao kimuziki huku kila mmoja akiwa na upekee wake kuanzia kuimba mpaka wakiwa stejini.
Kwasasa ni wawili tu ndo ambao...
Sio mpenzi sana wa mitandao ya kijamii lakini leo nimeamuwa kupita uko instagram kujionea nini kinaendelea kati ya SEDUCE ME ya kiba na ZILIPENDWA ya wcb, cha kustaajabu mpaka sasa tangu nyimbo...
Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo...
Dillish mathews ambaye anaemekana ndie anammiliki msanii wa bongo fleva Diamond platnumz amezua gumzo mtandaoni baaada ya video yake kuvuja akionekana akiwa na rafiki zake wakifanya mambo ya aibu...
HABARI WANA JUKWAA
Nmepitia ukurasa wa Mange Kimambi instagram kuna kampeni kaianzisha ya kumchangia Mh Lissu gharama za matibabu.So kwa ataependezwa juu ya hili apitie ukurasa wa huyo dada kupata...
Moja ya ishu ambazo zimekuwa zikijadiliwa kila siku hasa katika muziki wa Bongofleva ni kuhusu beef ambazo mara nyingi zimekuwa zikiwafanya baadhi ya wasanii kuingia katika malumbano kwa...
"Diamond ni daraja la kiba, Diamond platinum "Simba" anajitahidi sana, sana tena sana kumvuta Kiba awepo kwenye game lakini Kiba nadhani hajagundua jambo.
Diamond kama asinge mtupia dongo Kiba...
Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Husika na kichwa ha habar hapo juu
Yule dada yetu mkali dada mtata komando la kivita anayejiamin na asiye tishiwa nyau yupo mbion kuachia ngoma mpya ambayo...
Sent using Jamii Forums mobile app
===============
Taarifa Zaidi
Jamaa amepatikana, aliandika kwenye account yake ya Instagram kuwa alikuwa bagamoyo kwa kazi zake binafsi
Bwana Yesu apewe sifa....
Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania
Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza...
Who's feeling Cardi B right about now?
The chick is hot. She can spit. And her thick Hispanic accent is delectably catchy.
Looks like she's a hard worker and I love me some hardworking females...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.