Wanabodi nawasalimu kwa heshima.
Naomba nitoe pole kwa wanajamvi wote kwa mihangaiko ya hapa na pale.
Pili naomba niwaeleze serikali yangu kua kila senti wanayolipwa hawa vijana wetu wailipie...
Muda mfupi tu uliopita wakati Muwasilishaji katika Kongamano la ' Fursa 2017 ' linaloendelea sasa Mkoani Morogoro Msanii na Msomi ' aliyetukuka ' Nikki wa Pili amesema kwamba amevutiwa mno na...
Baada ya kutamba na kibao chake kipya 'Seduce Me', msanii AliKiba alipata fursa ya kubadilishana machache na Kwanza TV.
Mahojiano kamili iko hapa:
Kwanza TV - itaendelea kukuletea mahojiano...
Habari wadau
Kwa wanaopenda movie za Italian Mafia au 'Wiseguys' watakuwa wanafahamu angalau moja ya filamu nilizoziorodhesha hapo juu
Mwigizaji mkongwe wa filamu hizi Frank Vincent amefariki...
Habari zaenu
Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake...
Siku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi.
Sasa...
Tizama hapa kinachosadikiwa kua mwanzo wa marudiano ya wawili hawa.
Ni baada ya Vanessa kushinda jiwe bora la mwezi linalotolewa na clouds FM na kumuomba JUX kupanda nae stegin.
Mahug kibao na...
Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Natamani kuona na sisi tunakua na wasanii hata watano tu kutoka Tollywood na BongoMusic watakao tusumbua kwa mali zao walizochuma kwenye sanaa yao, Ila najiuliza tutafika lini level hizi za...
Uku kukiwa tetesi na vithibitisho kuwa msanii namba moja Afrika Mashariki Diamond Platinumz amekula tunda la mshindi wa Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews uko Zanzibar.
Boss lady Zari Hassan...
Wema Sepetu.
TUKIO la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida-Mashariki, Tundu Lissu ambaye ni wakili na Mwanashieria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limewaliza...
Harmonize akacomment hivi kwenye video yake
"Vipi kwani ? mbona nasikia mtaa wa 3 povu kwani katajwa mtuu? message ikishafikaga ukweli unaumaga ? #NIMECHOKA mwambie tena anaejifanya...
MSANII wa muziki wa RNB nchini, Juma Jux, anayetamba na wimbo wake mpya wa ‘Utaniua’ amefunguka juu ya uhusiano wake na mwanamuziki wa Tanzania, Vanessa Mdee, kuwa kwake kwanza ni familia yake...
Nawasalimu wana jukwaa wenzangu
Nimekuwa nikifwatilia industry hii ya media kwenye maswala yote yakiwemo ya michezo,muziki,na siasa pia.Leo nataka nimzungumzie huyu kijana kennedy ambaye...
Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata...
Aman iwe nanyi wapendwa
Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba
Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa...
Baada ya mfanyabiashara mashuhuri nchini, Yusuf Manji kuachiwa huru na Mahakama ya Kisutu jijini Dar, Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu ameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho kutokana na ujumbe...
Wu-Tang Clan members say the album Martin Shkreli bought for $2 million isn't an 'authorized' Wu-Tang album
John Lynch,Business Insider 9 hours ago
Reactions
Reblog on Tumblr
Share
Tweet...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.