SHAHIDI upande wa serikali kesi ya Wema Sepetu kutuhumiwa kutumia madawa ya kulevya amesema msokoto wa bangi ulikutwa ukiwa kabatini jikoni kwake.
Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa...
Habarini wanajamvi.
KUTOKA BONGO FLAVA:
Muziki wetu kwa sasa unakua kwa kiwango cha kimataifa kiasi cha kufanyika kile ambacho hakikuwahi kufikirika kichwani mwa watanzania wenyewe kuhusu BONGO...
Dah! Huyu Diamond wenu Watanzania kweli kidume maana kwa jinsi huwa namuonea wivu kwa huyo Zari wake....Aisei hatulii, mara kamtia mimba yule msanii waliyeshiriki naye kwenye wimbo wa 'Salome'...
MWIGIZAJI na mchekeshaji wa Filamu Bongo, Meya Shaabani amesema kabla ya kuingia katika ndoa aliichukulia poa, lakini kwa sasa anaona utamu wake na kumfanya afurahie maisha.
Meya alisema maisha...
Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi...
Kuna jamaa mmoja alikuwa anatangaza pale clouds FM kwenye kipindi cha the request show jumapili na kuna siku alipewa kuendesha kipindi cha xxl badala ya fetty, dozen na Adam walipokuwa...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kwasisi tunaofuatilia midundo ya mziki huwa tuna dil sana na watayalishaji wa hizo midundo, kwa maono yangu ninavyoona kuna anguko kubwa sana la jamaa yangu t...
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika...
Waandaaji wa Fiesta, Kampuni ya Clouds Media Group wamesema hakuna mtu aliyezuiwa kuingia katika tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba amesema wao wanafanya...
Watu wanaojulikana kutoka kampuni ya Tigo usiku wa jana wamkataza mwana FA kuingia katika shoo ya Tigo fiesta kama mtazamaji wa kawaida sababu anaidai kampuni hiyo bil 2.5.
Wataalam wa sheria hii...
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama...
DIVA"KABLA YA KUWA NA GK NILIKUWA NA DATE NA MWANASIASA"
Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho.
Swali : Je ni kweli Unatoka na GK?
Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My...
MAKOSA,UZEMBE NA KUTAPELIWA KWA WASANII WA ARUSHA
Mabadiliko makubwa ya sanaa ya filamu na maigizo kwa mkoa wa Arusha yalianza kuonekana wazi kipindi ambacho bwana Chriss Siriwa
alipoingia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.