Rapa B.o.B wa nchini Marekani hivi karibuni ameanzisha kampeni ijulikanayo kama "GoFundMe" ikiwa na dhumuni la kuudhibitishia ulimwengu kuwa dunia ipo flat na si mviringo kama ambavyo wanasanyansi...
Dar es Salaam. Mashabiki wengi wa muziki nchini bado wapo katika sintofahamu juu ya sababu ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band, mwanamuziki Mh Temba ametoboa siri hiyo.
Tangu kusambaratika kwa...
Msanii wa Bongo Mh. Temba amedai kuwa chanzo cha kundi la Yamoto Banda kusambaratika ni baada ya watu wenye fedha kuingia kati.
Temba ambaye alikuwa msamamizi na mmoja ya waanzilishi wa kundi...
Kevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito.
Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake...
Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’.
Mapema...
SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha...
MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao wamenaswa wakijiachia tena mchana kweupe peee huku Wema akijibebisha kwenye...
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili amefunguka sababu za wao kutosaini wasanii.
Weusi
Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Kihasara’...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Yule rapa mkali anayetamba na ngoma ya sina jambo ameweza kukata mzizi wa fitina juu ya uvumi ambao umezagaa kitaa wa...
Tanzania kwasasa FESTA ni tamasha liloshika kasi na kupendwa na watu wengi kutoka na kuwa na Wasanii wengi wanaopendwa na watu Tofauti tofauti tofauti! Haina ubishi kwa kiingilio cha Elfu 9/10 ni...
Yule mwanadada machachari na ex wa Mbunge maarufu kutoka mkoa wa Mbeya, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameibuka na kuicharua shule maarufu ya watoto wa kishua kwa kumrudisha mtoto nyumbani kisa...
Habari wanaJF, Ama kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonyeshe hata sehemu zako za siri nje nje..... Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa
mi sijui...
Salaam wana jamvi!
Baada ya kujiuliza maswali kadhaa nimeamua kuandika huu uzi ili wale wanaowaza kama mimi tuweze kutafakari kwa pamoja na kwa kina zaidi.
Nionavyo mimi suala la Diamond...
Waziri wa michezo na sanaa Harisson Mwakyembe amesemabifu la Diamond a Ali Kiba liendelee zaidi kwa kuwa linaleta ushindani
wangeendeleza zaidi huoushindani na hakuna haja ya kuwasuluhisha