Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Makonda ameandika ujumbe wa kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond. Kama mkubwa na mlezi wa mkoa hana budi kufanya vile, lakini mbona yeye na Ruge alisubiri mpaka Rais awapatanishe?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kumekuwepo na tetesi kuwa Eatv na Ea Radio hawapigi nyimbo za Diamond na kwamba kuna ugomvi leo katika pitapita zangu nika kutana na hii habari kwenye blog ya Eatv "Rapa Fid Q amefunguka na...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Inashangaza kuona kazi imefanywa na band ya Wcb ikijumuisha wasanii wote wa Wcb lakini huyu gwiji wa mitandao ya kijamii katoa pongezi kwa msanii mmoja tu inamaana wengine hakuwasikia au kuwaona...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui...
7 Reactions
34 Replies
40K Views
Na Zawadi B Lupelo Tulipokuwa tukisoma kiswahili mwalimu wetu wa fasihi (kiswahili 2) alipenda sana kutoa tafsiri ya neno mojamoja. Alituambia SANAA ni UFUNDI wa kueleza mawazo yaliyo katika...
10 Reactions
22 Replies
6K Views
Wanamuziki wa Tanzania, Uganda na Kenya akiwemo Ali Kiba, Nandy, Bebe Cool na Nyanshiski ni miongoni mwa nyota 18 wa muziki walioteuliwa kuwania tuzo za All Africa Music Awards {AFRIMA}...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Unafikiri hii staili ya vigodoro inaweza kumpaisha kimataifa na kupata tuzo tena?
0 Reactions
178 Replies
14K Views
Siku za karibun King Kiba aliachia songi lake matata "seduce me" lililopewa hadhi ya kimataifa na wachangiaji wengi wa mitandao ya kijamii huku wachache kati yao hasa wale team Diamond wakiona...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Msanii Ali Kiba alijikuta akivaa nguo za jinsia isiyo yake yaani za kike na kujikuta ametokelezea kama Aunt Asuu, Dan mtoto wa Mama, James Delicious au Bilal Mashauzi. Ali Kiba kama wengine...
4 Reactions
111 Replies
26K Views
Kuelekea pambano la 50 tangu aanze kucheza ngumi za kulipwa akitokea kule kwenye ngumi za ridhaa, namuombea sana mwanangu Floyd Mayweather aibuke kidedea kwenye pambano lake dhidi ya Conor...
7 Reactions
83 Replies
11K Views
habari zenu wadau.. sijawahi kuanzisha thread yoyote kwenye jukwaa hili ila leo imenibidi nianzishe tu maana uvumilivu umenishinda. Hili hit song la sedume me aloimba Ali Kiba sio level za nchi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wajuzi wa mambo embu nipeni dodoso kidogo, nini kimetokea kati ya maswahiba hawa wawili? Justin Bieber alikuwa shabiki wa damu wa Floyd Mayweather lakini naona ghafla anamchukia Mayweather...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Hii kazi imewaibua watu maarufu hapa nchini akiwemo Makonda na Jakate na na sasa Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni ambaye ameahidi kutoa zawadi kwa Ali kiba kwa kazi nzuri iliyotikuka. Seduce team Domo
1 Reactions
5 Replies
998 Views
Hii ipo na ni fact kuwa aliyekutangulia na akawa legend,hata iweje hauwezi kubadilisha ili uonekane ww ndo legend kwa kigezo cha mafanikio. Mfano,Maradona, ronaldo de lima, Gaucho n.k hawa ni ma...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Povu lamtoka moni kuhusu ngoma ya zimbabwe ya roma Rapa moni kaponda Ngoma ya Roma Mkatoliki
2 Reactions
30 Replies
11K Views
Mwanamasumbwi machachari kutoka ufilipino ambaye pia amebatizwa jina la ngumi cherehani na mashabiki wa ndondi kutokea Tanzanian ndugu Emmanuel Dapdrin ambaye pia maarufu kwa jina la Manny...
2 Reactions
6 Replies
989 Views
Mwenzetu yeye skendo za kuiba nyimbo, biti, kukopi na kupesti ni za kila mara Hapo vipi?
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…